Kikubwa Pumzi
Member
- Jul 25, 2025
- 83
- 182
Au sio!naona ana vitu vizuri ambavyo vinanivutia.
Mshauri mwenzio🤣🤣
😂😂 Niache bana!Mshauri mwenzio🤣🤣
Huna hela halafu unajitutumua. Mwisho uonekane kichaa🤣🤣😂😂 Niache bana!
Ye atulie dawa imuingie, kila siku humu
tunawaambia hakuna “submissive provider”
Halafu bado unamwita "mother material".Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo.
HuweziWadau naomba ushauri wenu.
Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo.
Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza:
Je, hii ni red flag au ni kawaida kwa mtu aliyepitia maisha fulani yasiyo na ups and downs?
Inawezekana kubalance mahusiano kama kuna tofauti kubwa ya kipato?
Nifanye nini ili nisiwe naonekana mnyonge au kupoteza heshima yangu?
Nimpotezee mambo yasiwe mengi japo namuona ni mother material?
Sipendi kuingia kwenye mahusiano ambayo nitajikuta najishusha, kutoheshimika au kuumia baadaye, lakini pia naona ana vitu vizuri ambavyo vinanivutia.
Naomba ushauri wenu
"Submissive providers" wapo sana tu, japo ni wachache. Huwa ni aina ya wanawake wanaoelewa tafsiri halisi ya kuwa submissive. Kuwa submissive haimaanishi kuwa mtumwa au kutii kilakitu. It simply means being a loyal friend to your husband. Submitting to his leadership when appropriate.😂😂 Niache bana!
Ye atulie dawa imuingie, kila siku humu
tunawaambia hakuna “submissive provider”
upendo wa kweli hauangalii redflagsWadau naomba ushauri wenu.