Bikra unayo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2026
- 638
- 2,312
Andika maumivu mjuba. Huwezi kuweka guarantee kwa mwanamke wa hivyo. Utakufa muda si wako.
Hello friend, i don’t want you to be delusional ndio maana nawaambia ukweli."Submissive providers" wapo sana tu, japo ni wachache. Huwa ni aina ya wanawake wanaoelewa tafsiri halisi ya kuwa submissive. Kuwa submissive haimaanishi kuwa mtumwa au kutii kilakitu. It simply means being a loyal friend to your husband. Submitting to his leadership when appropriate.
Kuingia kwenye mfumo na kubaki kwenye mfumo ni vitu viwili tofauti.Ni dhahiri kwako hatahitaji pesa, hizo anazo.
Ila kuna kitu hana au anacho kwa uchache, ambacho atahitaji toka kwako.
Masculine energy.
Kwa ufupi sana be a man, stay grounded.
Usikubali pesa zake zikakufanya u submit kwake, ukaacha principles zako, mitazamo yako.
Utakua wa tofauti kwake, wengi wanamuogopa.
Akiwa kakuelewa ataingia kwenye mfumo wako.
Ni kipi kimekuvutia bwana Kikubwa Pumzi zaidi ya pesa zake???Wadau naomba ushauri wenu.
Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo.
Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza:
Je, hii ni red flag au ni kawaida kwa mtu aliyepitia maisha fulani yasiyo na ups and downs?
Inawezekana kubalance mahusiano kama kuna tofauti kubwa ya kipato?
Nifanye nini ili nisiwe naonekana mnyonge au kupoteza heshima yangu?
Nimpotezee mambo yasiwe mengi japo namuona ni mother material?
Sipendi kuingia kwenye mahusiano ambayo nitajikuta najishusha, kutoheshimika au kuumia baadaye, lakini pia naona ana vitu vizuri ambavyo vinanivutia.
Naomba ushauri wenu
Kuwa provider hakukuondolei asili yako ya kuwa mwanamke au mwanaume. Mke wangu akilipa bills za familia badala yangu haimfanyi kuwa mwanaume. Na kuna wanawake wengi tu wanalipa bills na bado wanawaheshimu na kuwasikiliza waume zao. Mwanamke kunituma bar nikamnunulie chips hakunigeuzi kuwa mwanamke kamwe and I have done that many times.Hello friend, i don’t want you to be delusional ndio maana nawaambia ukweli.
Nyie wanaume ni providers, are you guys submissive?
Mwanamke akishaanza kuprovide….. umemuondolea her femininity, Umempa authority, toka lini authority inasubmit?
Nilitaka nimwambie hivi pia… ama kuna njia nyingine za “kisasa” “za kimasta” za kumfanya huyo bibie atulie.Shida hamtaki kukaa chini na wazee wa kwenu..... unadhani bibi zetu kutulia kwenye ndoa miaka 50 na wanapiga kazi wazee wanacheza bao ilikuwa n bahati mbaya???
Zungumza vzr na wazee wakupe code... huyo unaoa vizuri kabisa na anatulia ndani
Kama unaelewa… ninini kinaondoa feminine energy na kumfanya mwanamke kubehave kama mwanaume?Kuwa provider hakukuondolei asili yako ya kuwa mwanamke au mwanaume. Mke wangu akilipa bills za familia badala yangu haimfanyi kuwa mwanaume. Na kuna wanawake wengi tu wanalipa bills na bado wanawaheshimu na kuwasikiliza waume zao. Mwanamke kunituma bar nikamnunulie chips hakunigeuzi kuwa mwanamke kamwe and I have done that many times.
Wewe umenyooka kama rula, na huu ndio ushauri unaofaa katika hii situation.
Hii kunyenyekewa sijui kwa nini huwa sivutiwi nayo ,binafsi napenda kuheshimiana tuKama unaelewa… ninini kinaondoa feminine energy na kumfanya mwanamke kubehave kama mwanaume?
Kumfatia mkeo chips it’s an act of service.. na ndio masculinity yenyewe, lots of men do.
Again, hamna mwanamke ataprovide then asubmit katika huu ulimwengu wa sasa, kubali moja, Aprovide au a submit. au 50/50 equal partnership… (hii inatokea mostly kwa wale ambao ni marafiki) Hakuna kati yao anayedemand kunyenyekewa.
Inahitaji ku-unlearn vitu vingi kuhusu culture yetu na kuwa free thinker kufikia kutokutaka kunyenyekewa kama wewe.Hii kunyenyekewa sijui kwa nini huwa sivutiwi nayo ,binafsi napenda kuheshimiana tu
Watu wengi (mm nikiwemo) huwa tunashindwa kutofautisha hivi vitu viwili maana vinakaribia kufanana sana!!Hii kunyenyekewa sijui kwa nini huwa sivutiwi nayo ,binafsi napenda kuheshimiana tu
Being humble na Being represented 🤔Watu wengi (mm nikiwemo) huwa tunashindwa kutofautisha hivi vitu viwili maana vinakaribia kufanana sana!!
Heshima ikiwa 100% inaanza kuwa na taswira ya unyenyekevu... kwa lugha nyingine tunaweza sema unyenyekevu ni heshima iliyokamilika!!
Ila wanaume huwa tunajisahau na kutaka kuogopwa... kuitaka heshima kupitia mlango wa uoga, huku ndo huzaliwa matumizi ya mabavu n.k
Mwisho ukitumia njia hii unapata unyenyekevu usio na heshima ndani yake!!
Hapana mimi sio muumini wa pesa za mwanamke imetokea tu nime-fall kwa mtu mwenye uwezo. Nimevutiwa na umama wake ni aina ya wanawake unaona anaweza kuwa mama bora, hana pilika pilika nyingi anapenda maisha ya home kupika, usafi wa nyumbani, na hata akitokea mgeni ana behave kama wamama wa 1960s jikoni fasta anataka kumuandalia chochote. So nasema mother material sababu nafikiri watoto wangu watapata mama bora kwa ulimwengu wa sasa. Mimi sina pesa ni wakawaida ila naamini naweza zipata muda wowote wala kichwani kwangu sipigi hesabu ya mali zake.