Naweza Vipi Ku-deal na Mwanamke Mwenye Kiburi cha Pesa na Tabia ya Ubinafsi?

Naweza Vipi Ku-deal na Mwanamke Mwenye Kiburi cha Pesa na Tabia ya Ubinafsi?

Huwajui wanawake vizuri mjombaa, awe na hela, Mali, njuruku elerii utanyanyasika mno,

Ebu tafuta saizi yako usije pata fedheha wa kiume wewe ujue
 
Kama unaelewa… ninini kinaondoa feminine energy na kumfanya mwanamke kubehave kama mwanaume?

Kumfatia mkeo chips it’s an act of service.. na ndio masculinity yenyewe, lots of men do.

Again, hamna mwanamke ataprovide then asubmit katika huu ulimwengu wa sasa, kubali moja, Aprovide au a submit. au 50/50 equal partnership… (hii inatokea mostly kwa wale ambao ni marafiki) Hakuna kati yao anayedemand kunyenyekewa.
It's really just a matter of what you believe to be the role of a wife or husband. And, take it from me, siyo wanawake wote wenye uwezo wana hiyo attitude uliyonayo. And, yes, wapo wanawake ambao wana pesa na wanagharamia zaidi miradi na mahitaji ya familia kuliko waume zao na bado wanawaheshimu waume zao kwelikweli. Maybe nikuulize kunyenyekewa unamaanisha nini kwa mfano? Mbona wanaume wengi hatupendi kunyenyekewa. Tunapenda kuheshimiwa.
 
😂😂 Niache bana!

Ye atulie dawa imuingie, kila siku humu
tunawaambia hakuna “submissive provider”
Binti..... tatizo hajatueleza kwa undani hizo anazoita dharau au kujiangalia mwenyewe tu. Inawezekana kabisa ni inferiority complex ya huyu ndugu yetu kwa mwanamke wake. Umewahi kufulia na ukahisi kama kila mtu anakudharau yaani unajishtukia mwenyewe? Au umewahi kupata fedha na kujiona una confidence na chochote unachofanya? Hisia vs uhalisia wa mambo vina athari sana kwenye maisha yetu.
 
Wadau naomba ushauri wenu.
Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo.

Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza:

Je, hii ni red flag au ni kawaida kwa mtu aliyepitia maisha fulani yasiyo na ups and downs?

Inawezekana kubalance mahusiano kama kuna tofauti kubwa ya kipato?

Nifanye nini ili nisiwe naonekana mnyonge au kupoteza heshima yangu?

Nimpotezee mambo yasiwe mengi japo namuona ni mother material?

Sipendi kuingia kwenye mahusiano ambayo nitajikuta najishusha, kutoheshimika au kuumia baadaye, lakini pia naona ana vitu vizuri ambavyo vinanivutia.

Naomba ushauri wenu
Achana nae dunia ni kubwa sana
 
Ukiona mwanamke anakuheshimu kwasababu huyo mwanamke ni maskinj ujue wewe hamna kitu . Mwanaume kamili unapaswa kuheshimiwa na mwanamke anaye jiweza. Kama huyo mwanamke anakuheshimu kwasababu hana kitu maana yake anaigiza , siku akipata maana yake hata kuheshimu tena ,, haya tuambie unaogopa nin kijana
 
Binti..... tatizo hajatueleza kwa undani hizo anazoita dharau au kujiangalia mwenyewe tu. Inawezekana kabisa ni inferiority complex ya huyu ndugu yetu kwa mwanamke wake. Umewahi kufulia na ukahisi kama kila mtu anakudharau yaani unajishtukia mwenyewe? Au umewahi kupata fedha na kujiona una confidence na chochote unachofanya? Hisia vs uhalisia wa mambo vina athari sana kwenye maisha yetu.
😀😀 ngoja atuambie vizuri.
 
It's really just a matter of what you believe to be the role of a wife or husband. And, take it from me, siyo wanawake wote wenye uwezo wana hiyo attitude uliyonayo. And, yes, wapo wanawake ambao wana pesa na wanagharamia zaidi miradi na mahitaji ya familia kuliko waume zao na bado wanawaheshimu waume zao kwelikweli.

HAYA!
 
Wadau naomba ushauri wenu.
Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo.

Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza:

Je, hii ni red flag au ni kawaida kwa mtu aliyepitia maisha fulani yasiyo na ups and downs?

Inawezekana kubalance mahusiano kama kuna tofauti kubwa ya kipato?

Nifanye nini ili nisiwe naonekana mnyonge au kupoteza heshima yangu?

Nimpotezee mambo yasiwe mengi japo namuona ni mother material?

Sipendi kuingia kwenye mahusiano ambayo nitajikuta najishusha, kutoheshimika au kuumia baadaye, lakini pia naona ana vitu vizuri ambavyo vinanivutia.

Naomba ushauri wenu
Run, nigger. Run.
 
Hapo inabidi ww uwe msingi kiuno tu!! Ichape mpk K ilie paa paah kisha itoe mapovu tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hapana mimi sio muumini wa pesa za mwanamke imetokea tu nime-fall kwa mtu mwenye uwezo. Nimevutiwa na umama wake ni aina ya wanawake unaona anaweza kuwa mama bora, hana pilika pilika nyingi anapenda maisha ya home kupika, usafi wa nyumbani, na hata akitokea mgeni ana behave kama wamama wa 1960s jikoni fasta anataka kumuandalia chochote. So nasema mother material sababu nafikiri watoto wangu watapata mama bora kwa ulimwengu wa sasa. Mimi sina pesa ni wakawaida ila naamini naweza zipata muda wowote wala kichwani kwangu sipigi hesabu ya mali zake.
Unawezaje kuwa na mwanamke mwenye pesa, wewe huna, halafu ukashangaa kwa kinachotokea.

Mbona unataka kujipa moyo kwa kitu kilicho wazi.

Hela huna huwezi kusikilizwa, wewe ndio unatakiwa usikilize.

Eti unasema

""Mimi sina pesa ni wakawaida ila naamini naweza zipata muda wowote wala kichwani kwangu sipigi hesabu ya mali zake.""
:3Heading: :3Heading::3Heading:
 
Hapana mimi sio muumini wa pesa za mwanamke imetokea tu nime-fall kwa mtu mwenye uwezo. Nimevutiwa na umama wake ni aina ya wanawake unaona anaweza kuwa mama bora, hana pilika pilika nyingi anapenda maisha ya home kupika, usafi wa nyumbani, na hata akitokea mgeni ana behave kama wamama wa 1960s jikoni fasta anataka kumuandalia chochote. So nasema mother material sababu nafikiri watoto wangu watapata mama bora kwa ulimwengu wa sasa. Mimi sina pesa ni wakawaida ila naamini naweza zipata muda wowote wala kichwani kwangu sipigi hesabu ya mali zake.
Hapo unaangalia pesa ....hiyo wife material umejiongeza tu
 
Back
Top Bottom