Hapa tunaongelea mambo ya siasa kwa mstakabali wa taifa letu na dunia nzima, wewe unaleta mambo ya ngono hapa. Ebu ukue wewe, yaani wewe akili yako badala ya kuwaza mambo ya maana unafikiri ngono tu. Kweli watanzania tuna kazi ya kuendelea mbele, kama tuna watu wenye akili kama yako.Nyie ndiyo wale mliowekwa na Mwigulu Nchemba hapa JF pamoja na Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Variable choice na wengine mlio katika payroll ya Lumumba ili mchafue hali ya hewa kila mahali. Hatupo hapa kujadili mambo yako ya ngono, kawaulize watu kijijini kwako.