Naweza Vipi Ku-deal na Mwanamke Mwenye Kiburi cha Pesa na Tabia ya Ubinafsi?

Naweza Vipi Ku-deal na Mwanamke Mwenye Kiburi cha Pesa na Tabia ya Ubinafsi?

Wadau naomba ushauri wenu.
Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo.

Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza:

Je, hii ni red flag au ni kawaida kwa mtu aliyepitia maisha fulani yasiyo na ups and downs?

Inawezekana kubalance mahusiano kama kuna tofauti kubwa ya kipato?

Nifanye nini ili nisiwe naonekana mnyonge au kupoteza heshima yangu?

Nimpotezee mambo yasiwe mengi japo namuona ni mother material?

Sipendi kuingia kwenye mahusiano ambayo nitajikuta najishusha, kutoheshimika au kuumia baadaye, lakini pia naona ana vitu vizuri ambavyo vinanivutia.

Naomba ushauri wenu
Mother material na kiburi ,unaonekana hata wewe huna msimamo. Kiburi dawa yake jeuri. Mimi demu akiniletea jeuri yeye ndiye atakaye omba poo.
 
ushaur wangu achana nae toka kwenye hayo mahusihano mkuu dalili ushaoneshwa hapo n mwanzo tu ukiingia ndoani ndoyo utajua

ili kuepuka kugawana majengo ya serikali ( jela na mochwari) tafuta mnyonge wako muoe n dhahir huyo siyo daraja lako mkuu yupo kwa ajil ya mboo yako tu na akiichoka bas atapata kwingine maana amekizd kila kitu
 
Hapana mimi sio muumini wa pesa za mwanamke imetokea tu nime-fall kwa mtu mwenye uwezo. Nimevutiwa na umama wake ni aina ya wanawake unaona anaweza kuwa mama bora, hana pilika pilika nyingi anapenda maisha ya home kupika, usafi wa nyumbani, na hata akitokea mgeni ana behave kama wamama wa 1960s jikoni fasta anataka kumuandalia chochote. So nasema mother material sababu nafikiri watoto wangu watapata mama bora kwa ulimwengu wa sasa. Mimi sina pesa ni wakawaida ila naamini naweza zipata muda wowote wala kichwani kwangu sipigi hesabu ya mali zake.
Utoto umekujaa, subiri ukue ndipo uingie kwenye maisha ya mahusiano.
 
Back
Top Bottom