Ila dipresheniHuna hela halafu unajitutumua. Mwisho uonekane kichaa🤣🤣
Hili si jukwaa la Ngono. Huelewi hata mahali ulipo. Sasa kama huhitaji akili kama yangu basi katafute jukwaa lingine ambalo linakufaa. Nyie ndiyo wale mnaotutoa kwenye reli kwa manufaa ya watu fulani....Mnajadili ujinga. Tuna matatizo mengi sana nchi, hizo personal issues zako tafuta mahali pa kupeleka, kuna mahali pengi tu pa kupeleka.Mkuu mimi kwa kweli sihitaji akili kama yako kama unaona kila jukwaa unaweza kupost siasa.
How? Nipe mbinu.Only by making her to know ,she is replaceable!!
Wadau naomba ushauri wenu.
Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo.
Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza:
Je, hii ni red flag au ni kawaida kwa mtu aliyepitia maisha fulani yasiyo na ups and downs?
Inawezekana kubalance mahusiano kama kuna tofauti kubwa ya kipato?
Nifanye nini ili nisiwe naonekana mnyonge au kupoteza heshima yangu?
Nimpotezee mambo yasiwe mengi japo namuona ni mother material?
Sipendi kuingia kwenye mahusiano ambayo nitajikuta najishusha, kutoheshimika au kuumia baadaye, lakini pia naona ana vitu vizuri ambavyo vinanivutia.
Naomba ushauri wenu
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Ila dipresheni
Selective submissiveness isn't acceptable to men, that's a sure recipe for chaos. You either submit or you don't.Kuwa submissive haimaanishi kuwa mtumwa au kutii kilakitu. It simply means being a loyal friend to your husband. Submitting to his leadership when appropriate.
Shida hamtaki kukaa chini na wazee wa kwenu..... unadhani bibi zetu kutulia kwenye ndoa miaka 50 na wanapiga kazi wazee wanacheza bao ilikuwa n bahati mbaya???
Zungumza vzr na wazee wakupe code... huyo unaoa vizuri kabisa na anatulia ndani
Dah,Nilitaka nimwambie hivi pia… ama kuna njia nyingine za “kisasa” “za kimasta” za kumfanya huyo bibie atulie.
Ila siku akijitambua kazi inaanzia hapo.
Na ndo kikubwa hapoKu deal naye ni either utafute pesa zaidi yake au uachane naye.
Unless otherwise, hakuna rangi utaacha kuona.
Umeingia cha kike, Ewaaaaa!
Hahahaha hiyo nayo pasua kichwa sas ataKazana kubet mtakuja kuheshimiana tu
Kumtii binadamu yeyote yule kitu chochote kile anapenda ukifanye hata kama kina madhara hasi makubwa kwako na kwa wengine ni ukichaa. Acha mara moja mkuu. Halafu kuabudiwa hakujawahi kumpa binadamu yeyote yule furaha ya kweli.Selective submissiveness isn't acceptable to men, that's a sure recipe for chaos. You either submit or you don't.
Yaani, huyo manzi awe anachagua mambo ya kutii na mambo ya kukataa (kuasi)? Hiyo ndoa itakuwa imeangukia pua tayari kabla haijaanza!
Ila inategemea so wote wanaweza kutumia mali kuwanyanyasa waume zao ila ni waUtateseka vibaya mno na yeye hatajali hata kidogo
Huyo mwanzo tu ameshaonesha ishara mbaya kwa hiyo asitegemee kuna mabadiliko yatatokea.Ila inategemea so wote wanaweza kutumia mali kuwanyanyasa waume zao ila ni wa
Sawa hiyo imekaa good mshaurini tu mapenzi hayawezi atafute pesa asije kosa vyoteHuyo mwanzo tu ameshaonesha ishara mbaya kwa hiyo asitegemee kuna mabadiliko yatatokea.
🚮Kumtii binadamu yeyote yule kitu chochote kile anapenda ukifanye hata kama kina madhara hasi makubwa kwako na kwa wengine ni ukichaa. Acha mara moja mkuu. Halafu kuabudiwa hakujawahi kumpa binadamu yeyote yule furaha ya kweli.