Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

K
Kama wewe ni:-
1.bikira kataa vitu vyao kwa namna yeyote ile
2.Kama ushawahi kutombwa,kataa vitu vyao huku ukitafuta Bwege mmoja akuoe
3.Kama wewe hutaki kuolewa,pokea vitu vyao waendelee kukutomba
4.kama unapokea vitu vyao na hutaki kutombwa,subiri waje wakufire siku moja
 
namhurumia sana huyo atakaekuweka ndani km mama mjengo, kwasabab, hiyo KUMAliza kazi itakuwa imekwisha muda wake wa matumizi.
 
Khee kazi kweli, okay me sio Bikra, mengine nitayafanyia kazi.. thank you
 
Pokea mamaaa kuna watu hawajai kupewa hata buku ya vocha,.
ILa ujue opposite ya kupokea ni kutoa
 
Yass unatoa?
 
Kwa majina wanayokuita ni ishara uko empty fanya hivi hama maeneo unayoishi Kisha uanze upya kujenga haiba Yako na usikubali kuitwa majina ya hovyo hayo.
 
Hakuna anaekupenda hapo wote wanakutamani na wanajaribu kukushawishi kwa hizo zawadi,,,,,ni ngumu sana kwa mwanaume ambae hana undugu wa damu na wewe kukupa zawadi za bure,,,, labda wawe ni wafanyakazi wenzako au mliosoma pamoja na watatoa zawadi hizo kwenye muda mahsusi kama pongezi kwa Siku yako ya kuzaliwa au jambo lingine linalofanana na hilo.

Kuhusu kama watakuchukulia hatua kwa zawadi zao ni swala la muda tu...wengi wa wanaume walio katika umri huo wana familia zao kwahiyo wana hofu ya kukuchukulia hatua..wanaweza pata aibu kwa sababu wengi wanakupa hizo zawadi kwa siri.

Cha kufanya usipokee hizo zawadi ila unesha utii na ustaarabu kwao anaweza mmoja wao akavutiwa na wewe na kukuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…