Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

Umeandika kitu cha tofauti, nimewaza sana, Doh, anyways salimia LEMA
Usiwaze sanaaa!

LEMA nataka nimuombee sana kesho asije akaropoka sana akamvua nguo FAM

I believe this one! Mungu alihitaji kupata watu ila ilimpasa na yeye kutoa ili kupokea.

Akamtoa mwanae ili kila atakayemwamini huyo mwanae na yeye awe Mali ya Mungu.

Ukipokea lazima utoe tu kama si Cha mwilini basi Cha rohoniii
 
Kuna mwenzio alikuwa analalamika anatoa halafu hapewi hata nauli...
Haha sasa Kupanga ni kuchagua, swala ni moja atoe au asitoe ila sio kuweka matarajio nje ya uhalisia
 
Acha uongo, michongo gani unawapa na hiyo njaa uliyonayo?
 
wapuuze, hivyo vitu utapokea hadi lini?

utu wako usiupe thamani ya mali

haiwezekani upendwe na wababa tu, wababa na wakaka wana macho yale yale

wakaka unawadharau kwasababu hawana vizawadi vingi
 
TRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi wanavyojisikia wao☺️🤣, nyie bwana...

Bt Guys please aim ya kuandika hii sio Promo wala kutafuta mtu ni just kushare experience na tufurahi so please.🙏🏾

Sasa issue inakuja, sijui tuite wanatanguliza sana MATERIAL THINGS than utu ili tu kuwin situation chapchap au la, ila me nipo tofauti kiasi, mtu akijishape sana na material things najawa hofu ya kuwa nae I'm like why all these things to me (sijui ndio pepo la umasikini) japo na ujinga wangu NAPOKEA (of course yes napokea, vya maana tu) ila kuna hali ya kufeel mahaba juu yake inatoweka so nakuwa empty crate. inafika kipindi wanakata tamaaa wanaishia zao na wengine wanakuwa marafiki tu tunapeana michongo kulingana na uwezo wao.

Kwa uwazi tu niambieni nawezaje skip hizi mitego za kupokea GIFTS and LITE material kutoka kwa hawa watu bila kukubali kulala nao na wasinidhuru hapo baadae, au ndio what's goes around comes around😭😭.... NAOGOPA
Sa kama humutaki mtu why uchukue vyake,hiyo ni tamaa tu ,utakuja kujaa angle theatre upigwe ,Fort some ,#Sio three some.
 
uchakavu wa maeneo muhimu ya via vya uzazi kwa mabinti wa umri huo ulionao ni wa kutisha, na inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana.

ni muhimu mno kujihurumia wenyewe na kujifunza kutoka kwa madada wa over 40yrs, ambao walijirajisisha wakiwa na 18's wakachakazwa sana, leo hii hawatamaniki na hawaoleki, waume zao ni toys.

Usiringe sana,
usichague sana, kuna wakati utachujuka na utakosa ladha kama wengine ambao wana stress zisizoisha kwa maringo ya ujanani mwao.

Mungu akubariki, Mungu alouonyesha njia na kweli uolewe 🐒
 
wapuuze, hivyo vitu utapokea hadi lini?

utu wako usiupe thamani ya mali

haiwezekani upendwe na wababa tu, wababa na wakaka wana macho yale yale

wakaka unawadharau kwasababu hawana vizawadi vingi
Sikumaanisha kuwabagua wakaka, ila nimemaanisha mara nyingi usumbufu unatoka kwa rika hilo tajwa, labda mwili tu
 
Sa kama humutaki mtu why uchukue vyake,hiyo ni tamaa tu ,utakuja kujaa angle theatre upigwe ,Fort some ,#Sio three some.
Bt sichukui kwa makubaliano ya kulala nao NO, ni kama wewe uamue kumpeleleke mtu vitu then ndio uanze ku approach is it necessary akukubalie?
 
Back
Top Bottom