Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

"Another single mama in waiting."

Ndani ya miaka 10 unaamini atakua bado single?!
 
Daaah!
Mbona unaongea kwa maumivu hivi! πŸ₯±
Nawe unapita kwenye moto kama huu
 
kisa kilikua cha kitoto sana sitaki kukisema hapa ambacho mimi nilihusika tu kuweka pic yake kama profile halaf kunae huyo mtu kimbelembele akatia fitna ni mwanaume ujue
Funguka tuu ili uchungu uishe vilevile utawasaidia na wengine wajue tabia za baadhi ya member wa humu
 
sasa ndio huyo d et akanuna baba zima na ndevu zake kaa mbuzi maisha haya
Kwamba kwenye pfl pic uliweka picha ya huyo umpendae au ya huyo kidudu mtu aliecomments hapo juu?,hebu tufafanulie vizur huyo kidudu mtu alikuharibia vip?...
 
Baada ya kupitia baadhi ya comments za @mamaafacebook11 nikagundua chanzo mahusiano yake kufa ni member ajulikanae kwa I'd ya The Boss

Pls The Boss njoo ujibu hizi tuhuma
 
Mshenzi kampata fala wake,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kakiburi kangu kamenisaidia sana kunako mahusiano, yani mi ningemlamba block kila kona ya mawasiliano na angejitia kutumia namba nyingine ningemreport whatsup ili wamfungie akili imsogee
 
Mshenzi kampata fala wake,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kakiburi kangu kamenisaidia sana kunako mahusiano, yani mi ningemlamba block kila kona ya mawasiliano na angejitia kutumia namba nyingine ningemreport whatsup ili wamfungie akili imsogee
Eti miaka kumi halafu ana jirudisha dadekiii na block mpaka Ukoo wake😁😁
 
Upupu wa uongo kama huu ndiyo unapata ''likes'' nyingi na kuchangiwa sana. Ndiyo maana watu wanazidi kuanzisha thread kama hizi.
 
Nimekuelewa sanaaa.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…