Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

Mmh hayo ya ndani hivyo umeyajuaje?
We ni ke pia?
Au Me uliyestaafu
 
Maeneo yote yanayohusisha story za watu kuliwa TIGO hukosekani, anyway dhambi yako ulishatubu sikuhukumu kwa hilo,its your past uko na experience nayo.

Lakini usipende sana kuquote watu wengine hta kama kilichoandikwa kimekufurahisha au kukukera.

Jifunze kutumia reactions n msg tosha ila hizi quote quote utafukuliwa makaburi yako uanze kusema unahukumiwa.. behave to kama msomaji wa kimya kimya..

ukisikia hamu ya ku comment,do it on a plain wall usitumie quote wala ujumbe wa mtu hautokaa ugombane au upishane kauli na yeyote humu.

Hayo Tu.
 
Kiingiliwa kinyume na maumbile ni kosa na sababu muhimu na yakutosha kuvunja ndoa au uhusiano whether ni kanisani, msikitini au mahakanani....
 
Naona ushauri mwingi ni wa kumkimbia huyo mwamba, hivi mnajua wanaume wanaojua kuganda kama luba...

Sasa ndo huyo mwamba, atamfuata popote alipo...

'Kisamvu cha kopo' ni sumaku... inasemekana. 😎

-Kaveli-
 
Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.
Hapo huna cha kumlaumu
 
Kama ni Ke akishaolewa atarudi tena humu nani akilalamikia mumewe hamfikishi kileleni kumbe mtu keshazoea michezo michafu.
 
Achana na hoja nyepesi eti anakuharibu, Sayansi inaweza kukufanyia mazingira ya wewe kujiskia salama

Lakini, ni hoja kuu ni kuwa HIYO NI DHAMBI.

Nje ya NENO LA MUNGU, Kila kitu ni halali...

Angalia NENO LA MUNGU na sio hoja zingine...
 
Pole sana. Tunaweza tukakufikiria tofauti lakini tayari upo kwenye tatizo. Usitumie nguvu sana kutaka kumaliza hili tatizo.

Fanya jitihada za kukutana na daktari yoyote mwaminifu Kisha pima afya yako.

Ukipatikana ni mzima, zungumza nae vizuri kuhusu shida unayopitia. Akishakuelewa, mueleze kwamba unadhamiria kuja kupima afya na mpenzi wako huyo "mbabe" lakini katika vipimo ni muhimu kumueleza daktari kwamba majibu yako yatoke positive na ya huyo mbabe yatoke negative.

Daktari atatumia muda kuhusu kuwaeleza namna ya kuishi maisha ya utengamfu Kwa sababu mmoja Bado Hana maambukizi (atafanya hivi akiwa anajua lengo ni nini).
Bila shaka huyu mbabe atakuwa tayari kuanza safari yake bila wewe, "mgonjwa". Baada ya hapo, Anza maisha ya toba na kuachana kabisa na hiyo Tabia.

Usijiingize Tena kwenye mahusiano mapya Kwa haraka. Seek to heal! Hilo ni tatizo na unahitaji muda wa kupona. Jipe nafasi na muda na utakuwa sawa.
 
Mabingwa wa VIFIRO wanaendelea kumwaga ushauri mwanana.

Kwenye hili swala la ulaji wa kinyeo, kila mtu ni MSHAURI NASAHA.

Ooooohh usiliwe tigo, ooooooohhh jamani polee, oooooooohhhhh tigo vile tigo hivi, Ni maushauri kila pande.

NASEMAJEEE, NASEMAJEEEE, endelea KUBAMIZWA KINYEO.
 
Pole sana...

Mshitaki huyo kuwa anakulazikisha kufanya na anakutisha kuonyesha picha zako za utupu..

Omba Toba na Rehema kwa Mungu kwa ajili yako na kizazi chako...
Ndo nyie sasa.
Yeye kakili na kuchepuka na kuomba akaliwe. Haya,atafungua kesi mbili? Nae wapo alowalazimisha.

Na miaka hiyo yote alikuwa wapi akashitaki leo!? Bora angemuwekea na chupa ya Energy kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…