Nawezaje kuiokoa familia yangu na mateso ya jini huyu?

Jini mahaba(spiritual husband)
Imagine umetumia mamilioni na kazi umefukuzwa huku sisi walokole nikiwemo Mimi ninaweza kumfukuza huyo jini bure within few minutes.
Binadamu acheni ubishi mtateseka sana na nguvu za kichawi.
Jini mahaba si hamu ya kungonoka mara kwa mara bali ni pepo unafunga nalo ndoa bila hiari au kwa hiari yako.
It's time now all people should come to Jesus.
Mkoani kwetu kuna kijana wa sekondari anapitia mateso ya kichawi baba yake kauza mali zote sasa nimemwambia aje Dar bila pesa na mtoto atapona.
 
Hizi mambo za mapepo majini na wenziwe hazina uhakika wa moja kwa moja, akili ya binadamu bado ni kitu kilicho na contradiction kubwa, inaweza kuwa ni matatizo ya akili tu. Poleni lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alikuwa hajui chochote kuhusu dawa za au mbinu za kutolea mimba zaid ya vilivyokuwa ndan yake.
Na hio ela ya kununua hizo dawa angeitoa wap kipind kile uchumi ulikuwa umeyumba
Kwa nini ulikuwa inaruhusu atolewe hizo mimba?
 
Kuna mwana mdogo wake alipata mtihani unafanana na huo, yeye alioa binti kumbe yule binti kaishazaa na jini bila kujijua kimbembe kilikuwa hapo, jana anataka demu wake, akaanza kumsumbua mshikaji na mkewe kwa pamoja, kahangaika kinoma, kaja kuponea kwa sheikh gan sijui magomeni huko.
 
Wale
Wale watoto Saba vipi?Malizia kabisa tujue wapi pa kuanzia tukomboe na watoto wetu hao
 
Kwa nini ulikuwa inaruhusu atolewe hizo mimba?
Uoga tu. Nilikuwa bado nipo shule na yeye alikuwa mfanyakazi home kwaiyo sikutaka nyumban wajue na kuachana nikitu ambacho hatukuwa tunaweza.
 
Pole sn ndg penye wengi haliaribiki jambo naimani utapata mwanga wa shida unayopitia
 
Pole sana Mkuu ni kuomba tuu hayo madudu yatatoka na kushirikisha Viongozi wa dini yako sasa hivi kuna hata wafanyakazi wa ndani wao ndio wanashiriki kusambaza haya madude kwa hiyo muwe makini sana..
 
Pole sana Mkuu ni kuomba tuu hayo madudu yatatoka na kushirikisha Viongozi wa dini yako sasa hivi kuna hata wafanyakazi wa ndani wao ndio wanashiriki kusambaza haya madude kwa hiyo muwe makini sana..
mbona hatari
 
Pole sana3,
Kwa kua upo DSM nikuombe uende hapo kwa Mwamposa au Suguye..utapata suluhisho la kudumu..fanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…