Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

wewe unatabia ya kiburi.Unashauriwa unajitia ubishi. Hakuna mwanaume anaetaka kuoa mwanamke mwenye sifa kama zako. Acha ubishi na kiburi uone kama huolewi. Na uwache tabia ya kumtupia shetani lawama wakati ni ujinga wako. matatizo yako ni wajibu wako, achana na masuala ya kutafuta ushirika kwenye matatizo.baadae huyo mshrika ataanza kuhadithia ujinga wako mbele za watu, uanze kuleta lawama zako hapa jamvini.
 
Nahitaji kupata mtu wa kweli wa Mungu anaeongea na Mungu direct najua Tanzania nzima hatokosekana
Huyo mtu ni Wewe mwenyewe my dear...jinenee vitu positively...jinenee ilikua bahati mbaya mpenzi wangu ukaniacha.naamini soon ntapata m-bora zaidi tutaanzisha family..Mungu hakupanga tuishi wote .na kweli utampata mtu mzuri kumzidi marehem..afu usiamin maombi ya mtu mwingine lia na Mungu wako usiku mkali .pole sana
 
Hivi mkuu wewe unapenda kukumbuka marehemu… kumkumbuka mtu sioni kama kuna shida… shida huja pale unapomkumbuka na maumivu yaja na hiyo kitu ni automatically sio naamua kwamba sasa ni muda wa kumkumbuka marehemu
Sikiliza mdada.
INAKUPASA KUKUBALI HUO UKWELI!
Si umeona vile hata wewe mwenyewe umeliona ni tatizo!
Meaning ni kitu kinajirudia rudia na ni kitu cha kila siku! Kila nafsi imeumbiwa mauti my dear!
Hakuna kiumbe alozaliwa na mwanamke hataonja mauti!
Ukianzia hapo tu utaona vile unavyoshindana na maumbile!
Mimi na wewe tutakufa, na hatutaishi milele!
Kifo kinauma sana, sana sana!
Sijawahi kufiwa na mpenzi, ila nimewaji fiwa na rafiki , wazazi wote wawili, mdogo wangu wa pekee!
So ninakuelewa mno unaposema uchungu wa kufiwa, hatulinganishi maumivu ila what i tell you is
Kufiwa kupo na kutarajie!
Kuachwa kupo na kutarajie!
Unapokutarajia sio kuwa ukae mguu nje mguu ndani, hapana! Bali Kujua ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na ni sehemu ya mapenzi!
Hatari ya huo uchungu unauendeleza ni KUTOKUFAA kwa yeyote, hakuna mtu anataka kung'ang'aniwa kama luba, hasa haya mapenzi ya siku hizi!
Hakuna mtu anataka kuhisiwa ataacha mwenzi iwapo hana huo mpango
MUCH WORSE hayuuuuupo mtu anataka kulinganishwa au kushindanishwa na yeyote mbaya zaidi na marehemu!
We ungeweza? yani mtu kila siku unamkuta anamlilia marehemu ex wake? Na upo ndani unampenda vizuri u are doing your best loving him/her? yeye kutwa anamlilia marehemu ex wake?
Ulimdate wa nini sasa iwapo u are soul iko tied kwingine?
HAYUPO MTU ATAKUELEWA.

so unaruin your own life ans still unataka usiexperience kuachwa, fact is unaanda mazingira hayo so unakitengeneza unachokihofia!

Kuhusu kuombewa na mtu anayeongea na Mungu direct, mi sio prayer person kihivyo ila angalau ninajua kuwa mtu huyo hayupo kuendelea kumtafuta ukimuwekea tumaini ndiye atakayekuvusha kweenye tatizo lako ni kujindanganya! ila nINAAMINI KUWA MUNGU YUPO na hana c/o go face him na umwambie haja za moyo wako.

huwezi na hili pia, well, endeleA kulia na kuwa na uchungu!
 
Pole sana.

Kwenye familia yenu, au upande wa Baba yako au upande wa Mama yako, kuna jambo kama hili lilokupata limewahi mpata mtu mwingine?
 
Mkuu kama ni imani tofauti na ya kimungu huyu alieumba ulimwengu na kumuumba mwanadamu na kumpa pumzi ya uhai.. huyu Mungu alietamka neno bahari ikawa mimea ikaota na wanyama kutokea niambie nije inbox yako

Lakini kama ni imani tofauti na hiyo please usi comments nitaelewa kuwa sio
 
Hakuna mtu anayeweza kuongea na Mungu direct kwa niaba yako. Huyo hayupo.

Mungu ashindwe kukusikiliza wewe amsikilize mtu mwingine? Hapo unaenda kupigwa.
Shikilia imani yako hiyo hiyo huko unapoabudu tafuta mtu mzima wa kukushauri. Sali kivyakovyako
Uzi ufungwe📌

Watumishi wenyewe ndo hao wa kina Kuhani😖
 
Pole sana binti, ushauri wangu, wala usiwe na wasi wasi kila kitu hupangwa na Mungu. Nina tukio kama hili exactly, na mwisho wake huyu binti alipata mume safi tu , mpaka leo wanaishi vizuri kabisa. Tofauti na wewe huyu aliachiwa mtoto kabisa. Sasa fikiria.
Leo hii akikumbushwa anasema huyu mwanaume alie nae, aliletwa na Mungu. Sema mwanzoni alikuwa na wasi wasi kama wewe na kwa kweli anampenda sana huyu mumewe.

Kama huyo kijana mpya anakupenda na wewe unampenda basi jitahidi usahau penzi la marehemu na umpe penzi huyu kwani ndie uliye naye kwa sasa. Muombe tu mungu, kila kitu kitakwenda sawa.
 
Sawa madam nitakifanyia kazi
 
Sawa madam
 
Mungu ameacha nini?
We nae uko na shida nyingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…