Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

Kusema ukweli atakayekumuoa kadogo2 imekula kwake

Itakuwa ni ndoa ngumu sana maana amekataa kabisa kukubaliana na ukweli

Mwanamke mwenye mkazo kama huo ni ngumu sana kuishi naye
​
Hawa ndo wale wa kushikiwa akili nawachungaji..anauza gari anapeleka hela kanisani mchungaji anaenda tombea muumini ..Asee(in nyaki voice)
 
Ona kama huyu ndugu anavyojipa taabu yote hii
Lamomy
 
Uzuri ni fikra zako na fikra siku zote huwa sio lazima ziwe halisi

Mtu yoyote humu anaweza kukuelezea wewe kwa namna yoyote anayojisikia.. nafikiri na wewe ni shahidi ushawahi kuzushiwa kitu fulani ambacho Hakuna ukweli na wewe huwezi kuleta visibitisho humu kwakuwa Hakuna faida yoyote utakayoipata

So jf ni ya kila mtu na maoni yako yanasomwa na kila mtu be free kuongea chochote coz u have fake id Hakuna anaekufahamu
 
mimi sijakuzushia, we unaona lakini thread unazoandika?
 
Asipoelewa hapa basi tena..kudos
 
Snow matraco yako nacheka mpk watu wananishangaa 😹😹😹

Hiyo ya kuekwa ukuni eti mi staaaak 🀣
 
Mkipishana humo kauli za "namkumbuka sana marehemu flani mpenzi wangu hakuwa kama wewe"
Uzuri sijawah kusema kitu kama hicho na hata mtu wangu nilie nae hajui hizi habari wala hajui kama nishawah kufiwa mbele zake ni mwanamke ambae sijawah kupenda mwanaume mwingine zaidi yake
Na sitegemei kumwambia hizi taarifa labda hazisikie huko barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…