Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kwann ucheke kama huna idea ya hlo nenoMaana yake Nini? [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann ucheke kama huna idea ya hlo nenoMaana yake Nini? [emoji1787][emoji1787]
Linachekesha tu...Kwann ucheke kama huna idea ya hlo neno
napenda mwanaume mwenye mvi🥰Punguza junk foods, fanya mazoezi, punguza kungoneka sana.
TafsidaHakuna namna,Ushazeeka hivyo,
40yrs mbona lizee, unafosi uonekane una 20yrs!!!
Imeisha hiyo[emoji419]
Inawezekana mkuu ukawa huna hekima ndiyo maana unaogopa uzee! Laiti ungekuwa na hekima ungefurahia maana watu wangekuwa wanakufuata kutaka ushauri! Mara nyingi mtu anayeng'ang'ania kuonekana kijana ni watu wa kupenda kichepuko!Yeyote aliyeniona miaka miwili au mitatu tu iliyopita ananishangaa na kutishika.
Walionilea na niliowakuta wakiwa wakubwa sasa ninawapita. Mvi zimetamalaki kidevuni na kichwani mara nne yao.
Nimegeuka kuwa kichekesho na mshangao kwa wanafamilia tunapokutana kwenye matukio yanayotukutanisha wanafamilia. Nina aibu muda wote.
Hata mwili, naona una dalili zote za kizee, kuumwa kiuno, kuchelewa kuitikia (response), na usingizi wa hovyo hovyo.
Yote haya yanatokea nikiwa na miaka 40 tu. Age mates wangu wengi wanaonekana km wana 20+ au 30+. Ni wa tatu kuzaliwa lakini naonekana wa kwanza kiumri, si kwa 'kukochopaa' huku.
Nimebahatika, mkate wangu wa kila siku siupati kwa kutumia nguvu nyiiingi za kilimo au kubeba zege, lakini kwa kasi ya kuzeeka, mimi ndo naonekana ninafanya kazi ya ukulima zaidi yao.
Msaada tafadhali.
Halina maana nlitaka mama mchungaji achekeLinachekesha tu...
Sasa si bora wewe? Mimi nikiwa na miaka 20 zilikuwa tayari zimeanza.Mkuu bora ww mimi at 30's nina mvi balaa kichwani hadi kero yaani.
Kungonoka kunafanya mtu azeeke? Maana napiga puli c mchezo kuzidi hao wanaongonoka ila mwili haujachoka sijazekaa na nina 43 sasa.Punguza junk foods, fanya mazoezi, punguza kungoneka sana.
Kuna miaka miwiwili ya nyuma tulienda mahali kufanya mkutano Wa Injili na wakati wamaombezi akaletwa mama mmoja kuombewaYeyote aliyeniona miaka miwili au mitatu tu iliyopita ananishangaa na kutishika.
Walionilea na niliowakuta wakiwa wakubwa sasa ninawapita. Mvi zimetamalaki kidevuni na kichwani mara nne yao.
Nimegeuka kuwa kichekesho na mshangao kwa wanafamilia tunapokutana kwenye matukio yanayotukutanisha wanafamilia. Nina aibu muda wote.
Hata mwili, naona una dalili zote za kizee, kuumwa kiuno, kuchelewa kuitikia (response), na usingizi wa hovyo hovyo.
Yote haya yanatokea nikiwa na miaka 40 tu. Age mates wangu wengi wanaonekana km wana 20+ au 30+. Ni wa tatu kuzaliwa lakini naonekana wa kwanza kiumri, si kwa 'kukochopaa' huku.
Nimebahatika, mkate wangu wa kila siku siupati kwa kutumia nguvu nyiiingi za kilimo au kubeba zege, lakini kwa kasi ya kuzeeka, mimi ndo naonekana ninafanya kazi ya ukulima zaidi yao.
Msaada tafadhali.
[emoji818]Tafsida
Yule mnafiki sana, unaweza kukuta moyoni siyo CCM ni hizbu.Kwamba ni mcc[emoji3],
Mbona mzee wa msogo bado kama kijana wa jana[emoji3]
Ukatili 😂Nilisema ndio na ninasema tena achana na maji ya moto ...
Yeyote aliyeniona miaka miwili au mitatu tu iliyopita ananishangaa na kutishika.
Walionilea na niliowakuta wakiwa wakubwa sasa ninawapita. Mvi zimetamalaki kidevuni na kichwani mara nne yao.
Nimegeuka kuwa kichekesho na mshangao kwa wanafamilia tunapokutana kwenye matukio yanayotukutanisha wanafamilia. Nina aibu muda wote.
Hata mwili, naona una dalili zote za kizee, kuumwa kiuno, kuchelewa kuitikia (response), na usingizi wa hovyo hovyo.
Yote haya yanatokea nikiwa na miaka 40 tu. Age mates wangu wengi wanaonekana km wana 20+ au 30+. Ni wa tatu kuzaliwa lakini naonekana wa kwanza kiumri, si kwa 'kukochopaa' huku.
Nimebahatika, mkate wangu wa kila siku siupati kwa kutumia nguvu nyiiingi za kilimo au kubeba zege, lakini kwa kasi ya kuzeeka, mimi ndo naonekana ninafanya kazi ya ukulima zaidi yao.
Msaada tafadhali.
Maji haya haya ninayooga kila siku na bado naonekana na miaka 24 kwakati Nina 35 na wadogo zangu ndio wanaonekana wakubwa kuliko Mimi na wanaoga maji ya maridi kila sikuNilisema ndio na ninasema tena achana na maji ya moto ...
[emoji23][emoji23][emoji23]Yule mnafiki sana, unaweza kukuta moyoni siyo CCM ni hizbu.