NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

Yanga walijua hii hemu iko upande wao

Waliamini wao ndo watakuwa na hatari kwenye lango la mpinzani lakini sekunde kadhaa zilizopita zimekuja kuwa prove wrong
 
Hivi Mnaona Mambo Yanavyokuwa Murua Ya Watu Wanaonana Kwenye Kupiga Pass.
 
Tukivichukua tutavipeleke simba B vikaendelee kukua, maana kule kuna uhitaji sana wa viwango vya aina hii
Mkuu Mpelekee Yule Wenu Maana shoot Za Mbali Zilikuwa Zote Imo Watu Wakadai Haoni Mbali
 
Mpira haujachangamka kabisaaa
Na mi nashangaa sijui yanga wana kwama wapi na pitch wameikuta imetulia

Sasa wangekuta hali ya uwanja ipo kama ile waliyoikuta simba, wangeweza kucheza kwenye uwanja ambao majani la mlenda ndio yametumika kama nyasi za uwanja?

Mungu awape nini?
 
Back
Top Bottom