DOKEZO NBS toeni tamko: Ulipaji wa pesa za semina za Sensa kuna uhuni unafanyika

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Naona yale yaliyotokea kwenye chanjo za kitaifa ya Polio ya majuzi yatawakuta pia makarani wa sensa....wenzenu wa chanjo walikopwa na bado hawajalipwa.

Kuwa makini usikope chochote kwa Mangi kuwa utamlipa mkiwekewa pesa za sensa....!
 
Unatakiwa taarifa yako iwe na maelezo kamili ya halmashauri gani imefanya hivyo na lini na nani msimamizi wa kituo na idadi ya walio fukuzwa ili iweze kufanyiwa kazi
 
Nchi ya ovyo hii
 
Mitihani watu wamepata 100% sasa sijui hoja yako nn?!
Huwezi kufurushwa bila sababu, wekeni pia sababu za kufurushwa sio kulialia tu…. na bado posho ya semina yoyote haijawahi kutolewa kabla ya kazi.
 
Huk
Huwezi kufurushwa bila sababu, wekeni pia sababu za kufurushwa sio kulialia tu…. na bado posho ya semina yoyote haijawahi kutolewa kabla ya kazi.
Huku nilipo hukuna mtu kafukuzwa hila kuhusu posho ni 0-0 na kuhusu logistics Ni kwel hawana Ni kuhusu mitihan watu wamepata 100 90%
Leo siku ya 11 watu hawajapewa hata sh 100

Athari negative Ni kuwa
Breakfast+lunch Ni mbaya Sana na mwisho wa siku watu wameanza kujipanga kupika data as a revenge.
 
MMh,Mambo mengine watanganyika tunapenda kulalamika Sana,hivi wakati munaomba hiyo kazi hamkuambiwa hiyo kazi Ni ya kizalendo?!!
Kazi ya SENSA siyo biashara ni kazi ya kizalendo zaidi hivyo acheni lawama za kijinga.
 
Na kwa mtindo huu Kuna watu watalipwa wataingia mitini hawatawaona na pesa wamechukua yani hata waseme tunawapa pesa ya siku tano nyingine tutawamslizia Kuna watu wataishia hapo hapo washanajisi zoezi
Watz wengi ni wahuni especially linapokuja suala la pesa
Hivi hamjifunzi wale wa vibao vya makazi
Halafu watu wanapiga hela viongoz kimyaaaa wanajifanya hawasikii kelele
Kumbe na wao ni wapiga dili
Tena wengine wanaagiza kabsaa walipe kias fulan hiyo nyingine tunagawana



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi ngumu Sana
Karani ambaye ndo kitovui cha sensa wana-mtreat Kama monster then wana-expect data sahihi kutoka kwa Mtu alijichokea na maisha
Kupikwa data ni jambo la kawaida tumeiga kwa viongoz wetu
Yaan nizunguke juan yeye akae ofisin avute hela ndefu kuliko mimi
Hapana hapana siwez

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kaa ukisubiri kuna kima itakuonea huruma
Acha upumbavu wako
Fight fight fight [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Rusha ngumi mpaka kieleweke

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wa hao makarani wa sensa ni kutoka CCM.
Hata wasipolipwa hakuna ubaya pesa zinaenda kusaidia chama kisonge mbele hiyo 2025.
CCM mbereee kwa mbereeeee
Asitoke mtu povu wala uvundo.
 
Acha wakome hawakulazimishwa kuomba waliomba wenyewe means hawakuwa na kazi za kufanya huku nje ndo wamepata sasa
 
Nimekokota hapa ni biliioni 350+.......hela ndogo sana kwa gvt,labda waibe wa katikati ila mwigulu anayo tayar
Bil 350+ ingekua pesa ndogo kama ndio ingekua pesa ya zoezi zima. Hiyo ni pesa ya kulipa makarani tu, achilia mbali wengine. Pia kuna mchakato wa hadi sensa kufanyika na kumalizika.

Hata hivyo Hilo zoezi tokea mwanzo mliambiwa Cha kwanza ni uzalendo. Ukiona malipo hayapo au hayafai acha
 
Umeandika mawazo yako kwa hisia zako tu, kama na wewe ni mmoja wa waliofurushwa kutokana na kufeli mafunzo usilielie….. malipo siku zote ni baada ya semina.
Kuna baadhi ya sehemu kuna dosari kidogo na hii inatokana na Kuna watu wanamchukia poa sana raisi wetu. Mimi nitawataja na raisi atawachukulia hatua kali.

Pesa ya smartphone ilishatoka, inakuwaje baadhi ya maeneo makarani watumie simu zao? How?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…