gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Una uhakika hivyo vyama vingine vilivyobaki wenyeviti wake walishafanya makosa ambayo mbatia kayafanya na hawakuchukuliwa hatua?.Toa mifano dhahiri na adhabu zake ndani ya hivyo vyama ili tuone Nccr wamekomaa kidemokrasia.Hiki ndicho chama chenye demokrasia ya kweli kwenye nchi hii. Vyama vingine ni Mali za wenyeviti na hawagusiki. lakin NCCR kwa historia yake wameonesha ukomavu wa kisiasa na kuwa hakuna aliye juu ya Sheria.