johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unajua history ya Nccr?
Hata Tundu Lisu ni Nccr damu!
Hata Tundu Lisu ni Nccr damu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio chakwake. Waanzilishi ni akina Mabere Marando.Nilijua chama cha kwake
Hii hoja yako ya bilkanas na mashamba unaipenda sana. Wenzio wenye akili na ufahamu wameshaachana nayo maana wameona haina mantiki yoyote kwa chama. Wenye akili tumegundua kuwa mtu wa mfuko anaweza kufanyiwa mazingaombwe yoyote kama ya bilkanas, mashamba nk ili kuwarubuni wasioona mbali. Lkn mwisho wa siku mfanyiwa mazingaombwe analipwa madhila yake yote aliyofanyiwa nyuma ya pazia.Duh! Mbowe amewashika pabaya. Maslahi ya kifedha yepi, mtu alibomolewa Bilcanas yake, kaharibiwa shamba lake na pia kafunguliwa kesi ya ugaidi na kufungiwa akaunti zake zote na pesa kuchukuliwa. Usiongee uongo kufurahisha nafsi yako.
Toka 2005 mpaka leo ccm imeshabadilisha viongozi watatu. Aliondoka Kikwete, akaja Magufuli. Baada ya Magufuli, amechukua mama Samia. Chadema toka mwaka 2005 hadi leo mwenyekiti ni yule yule, na mpaka leo hakuna matumaini ya demokrasia kutumika kumpata mwenyekiti mungine, cuf, nccr mwendo ni ule ule wa viongozi wa kudumu. Japo nccr wameonesha kuwa washachoshwa na ulaghai wa demokrasia uchwara ndan ya chama, nina imani safari hii watamng'oa iwe kwa njia ya demokrasia au nguvu za chama.Naunga mkono. Ccm inabidi tuige huu uthubutu na mfano NCCR Mageuzi walkohuonyesha
Magufuli alikufa kwa corona,weka rekodi sawa mkuuToka 2005 mpaka leo ccm imeshabadilisha viongozi watatu. Aliondoka Kikwete, akaja Magufuli. Baada ya Magufuli, amechukua mama Samia. Chadema toka mwaka 2005 hadi leo mwenyekiti ni yule yule, na mpaka leo hakuna matumaini ya demokrasia kutumika kumpata mwenyekiti mungine, cuf, nccr mwendo ni ule ule wa viongozi wa kudumu.
Kwani Rais wa Tanzania ni Mungu muumba wa Tanzania?Ndugai hakumgusa mwenyekiti wa chama bali alimgusa raisi, amiri jeshi mkuu na mkuu wa nchi. Kwahiyo hapo aliigusa taasisi ya uraisi na serikali kwa ujumla. Angezungumzia mikopo inayohusu CCM au mambo yanayohusu uongozi wa chama, hapo ndo angekuwa amemzunguzia mwenyekiti wa chama.
Mwenyekiti asingewezekana kupatikana kwa mazingira ya kipekee yaliyowekwa na Marehemu Magufuli kuanzia 2015. Ni wazi kuwa Mwenyekiti wa chama mpyq angepatikana baada ya Mh. Lowassa kuingia ikulu.Toka 2005 mpaka leo ccm imeshabadilisha viongozi watatu. Aliondoka Kikwete, akaja Magufuli. Baada ya Magufuli, amechukua mama Samia. Chadema toka mwaka 2005 hadi leo mwenyekiti ni yule yule, na mpaka leo hakuna matumaini ya demokrasia kutumika kumpata mwenyekiti mungine, cuf, nccr mwendo ni ule ule wa viongozi wa kudumu.
Mbowe ni jabali la kisiasa tanzania, mbona hamkumpiga stop nyerere kukaa madarakani miaka 25Ni jambo jema
Akina Tundu Lisu nao wampige stop mangi Mbowe
Katiba yenu inasema ukiwa rais outomatiki unakuwa m/kiti wa chama, chukua mfano kama mkishindwa uchaguzi mala tano mfululizo itakuwaje??Toka 2005 mpaka leo ccm imeshabadilisha viongozi watatu. Aliondoka Kikwete, akaja Magufuli. Baada ya Magufuli, amechukua mama Samia. Chadema toka mwaka 2005 hadi leo mwenyekiti ni yule yule, na mpaka leo hakuna matumaini ya demokrasia kutumika kumpata mwenyekiti mungine, cuf, nccr mwendo ni ule ule wa viongozi wa kudumu. Japo nccr wameonesha kuwa washachoshwa na ulaghai wa demokrasia uchwara ndan ya chama, nina imani safari hii watamng'oa iwe kwa njia ya demokrasia au nguvu za chama.
Dah kafanya nini tena ??! Hii counry ngumu sanaHalmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza.
View attachment 2232853
=======
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na makamu Mwenyekiti Bara, Angelina Mtahiwa kutojihusisha na shuhhuli zozote za chama hadi mkutano Mkuu utakapoitishwa ili wajieleze kuhusiana na tuhuma inazowakubali.
Uwamuzi huo umefanyika leo Jumamosi Mei 21, 2022 kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo kugombanisha viongozi na kulazimisha kujiuzulu.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Mwenyekiti wa azimio hilo, Joseph Selasini amesema pamoja na kusimamishwa kwa viongozi hao pia wamelivunja Baraza la Wadhamini la NCCR na kuteua wajumbe wapya ambao watasajiliwa kwa mujibu wa taratibu zitakazowekwa.
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Sisty Nyahoza amesema walipokea barua kutoka NCCR-Mageuzi kuwa kuna mabadiliko ya wajumbe wa bodi ya wadhamini.
Amesema pamoja na mabadiliko hayo kulikuwa na ajenda nyingine ambayo ni kusimamishwa kwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Bara kutokana na maazimio hayo wanasubiri barua rasmi ili kutoa taarifa.
"Tuna orodha yetu tutaenda kuangalia kama mlivyoona wajumbe wapo na akidi imetimia hivyo tunangoja barua rasmi kisha tutaenda kupitia na katiba yao," amesema Nyahoza
Takataka ni mama yakoHivi vichama vinavyoongozwa na mamangi Hakuna kitu.
Hakuna Cha mangi Mbowe, Mrema Wala mbatia.
Takataka kabisa
Mama yako amelala kwenye klabu ya Dadii, kakalia usiku mzimaTakataka ni mama yako
Joseph selasini!!!!!Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza.
View attachment 2232853
=======
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na makamu Mwenyekiti Bara, Angelina Mtahiwa kutojihusisha na shuhhuli zozote za chama hadi mkutano Mkuu utakapoitishwa ili wajieleze kuhusiana na tuhuma inazowakubali.
Uwamuzi huo umefanyika leo Jumamosi Mei 21, 2022 kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo kugombanisha viongozi na kulazimisha kujiuzulu.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Mwenyekiti wa azimio hilo, Joseph Selasini amesema pamoja na kusimamishwa kwa viongozi hao pia wamelivunja Baraza la Wadhamini la NCCR na kuteua wajumbe wapya ambao watasajiliwa kwa mujibu wa taratibu zitakazowekwa.
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Sisty Nyahoza amesema walipokea barua kutoka NCCR-Mageuzi kuwa kuna mabadiliko ya wajumbe wa bodi ya wadhamini.
Amesema pamoja na mabadiliko hayo kulikuwa na ajenda nyingine ambayo ni kusimamishwa kwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Bara kutokana na maazimio hayo wanasubiri barua rasmi ili kutoa taarifa.
"Tuna orodha yetu tutaenda kuangalia kama mlivyoona wajumbe wapo na akidi imetimia hivyo tunangoja barua rasmi kisha tutaenda kupitia na katiba yao," amesema Nyahoza
Conflicts are a legend of the party. Is CCM in play?Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza.
View attachment 2232853
=======
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na makamu Mwenyekiti Bara, Angelina Mtahiwa kutojihusisha na shuhhuli zozote za chama hadi mkutano Mkuu utakapoitishwa ili wajieleze kuhusiana na tuhuma inazowakubali.
Uwamuzi huo umefanyika leo Jumamosi Mei 21, 2022 kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo kugombanisha viongozi na kulazimisha kujiuzulu.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Mwenyekiti wa azimio hilo, Joseph Selasini amesema pamoja na kusimamishwa kwa viongozi hao pia wamelivunja Baraza la Wadhamini la NCCR na kuteua wajumbe wapya ambao watasajiliwa kwa mujibu wa taratibu zitakazowekwa.
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Sisty Nyahoza amesema walipokea barua kutoka NCCR-Mageuzi kuwa kuna mabadiliko ya wajumbe wa bodi ya wadhamini.
Amesema pamoja na mabadiliko hayo kulikuwa na ajenda nyingine ambayo ni kusimamishwa kwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Bara kutokana na maazimio hayo wanasubiri barua rasmi ili kutoa taarifa.
"Tuna orodha yetu tutaenda kuangalia kama mlivyoona wajumbe wapo na akidi imetimia hivyo tunangoja barua rasmi kisha tutaenda kupitia na katiba yao," amesema Nyahoza
Pole. Naona CHADEMA inakutesa sana.Alie zaidi ya Mbatia ni katiba ya chama chao, tofauti na chama fulani cha upinzani ambacho mwenyekiti ndo yupo juu zaidi ya katiba ya chama chake, ndo maana anaamua lolote atakalo dhidi ya chama na hakuna wa kumuuliza.