econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mbowe huwa anao msimamo ila pia huwa anajali sana maslahi yake kifedha.
Duh! Mbowe amewashika pabaya. Maslahi ya kifedha yepi, mtu alibomolewa Bilcanas yake, kaharibiwa shamba lake na pia kafunguliwa kesi ya ugaidi na kufungiwa akaunti zake zote na pesa kuchukuliwa. Usiongee uongo kufurahisha nafsi yako.