NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama

NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama

Huyu mbatia sikuhizi kawa nusu nusu kama Mbowe, akitakiwa Ikulu na kwenye shughuli za ccm huwa hachelewi kufika, tayari ameanza unafiki wa undumila kuwili mwache aitwe akajieleze
Hao wote wanapigania matumbo yao tu

Ova
 
Kesi nyingine jiyo naiona mahakamani
Inakwenda

Mikesi mikesi mikesi tu

Ova
 
Kupata vichekesho kama hivi nabonyeza vipi?
 
Nini kimempata mama Tanzania tena?!
Huyu huyu selasini wa chadema kaliamsha dude kwenye chama kipya?!
Hii nchi ngumu walahi 😅😅😅
 
Chadema kama chama kuna umuhimu wakujifunza mambo mengi kutoka NCCR.kuwa mwenyekiti haimaanishi ndio top wa kila kitu kwenye chama.
 
Joseph Selasini aliyekuwa mbunge wa CHADEMA akahamia NCCR Mageuzi Leo anamfukuza Mbatia NCCR!!!!
Ni kawaida sana kwenye siasa, hakuna permanent friendships or permanent enemies, there is only a common interests and conveniences, convenience zikiisha, you pat ways!.
  1. Mwanzilishi wa CUF ni James Mapalala akamkaribisha Maalim Seif Sharif Hamad na Prof. Lipumba, wakampindua, wakamfukuza.
  2. Mwanzilishi wa NCCR Mageuzi ni Mabere Marando, Prince Bagenda na Dr. Masumbuko Lamwai, wakamkaribisha Mrema, akawatimua
  3. Mwanzilishi wa TLP ni Senator Leo Lekamwa, akamkaribisha Mrema, Mrema akampindua na kumtimua
  4. Hata Chadema ni Freeman Mbowe aliwaleta Zitto Kabwe na Prof. Kitila, you know walitaka kumfanya nini Mbowe!.
  5. The brain behind ACT Wazalendo ni Prof. Kitila, JPM akamkaribisha CCM, baada ya kilichotokea, Mama kashikwa sikio, akaweka pembeni mapema kabisa now on his exit door, 2025 hasimamishwi na CCM, atahamia ACT kisha subirieni what will happen!
P
 
Kwanini mpaka leo hamujawaeleza watanzania kisa cha mbowe kufutiwa mashtaka kule mahakamani na tayari alikuwa na kesi ya kujibu lakini alipotoka tu break ya mwanzo akatuwa ikulu bila hata kuonana na famili yake kwanza lakini toka siku ile mbowe tunamuona sasa kawa mtu wa Ikulu muda wote, kwanini hamujawaeleza watanzania nyuma ya pazia kuna nini.,

Tundu lissu aliulizwa akasema aulizwe Mbowe mwenyewe kwanini hadi leo mnataka kuwafanya watu wajinga kwa kiwango hichi?
Wewe kwani unahisi nini? Labda kuna kitu unajua utuambie
Kinachotakiwa kuulizwa kwa hiyo serikali yako ni ni kwa nini serikali imfutie mashtaka mbowe ambayw mahakama ilisema ana kesi ya kujibu na kumuita Ikulu?
 
Joseph Selasini aliyekuwa mbunge wa CHADEMA akahamia NCCR Mageuzi Leo anamfukuza Mbatia NCCR!!!!
JUST IN:Mbatia amekuwa anamtukana Sana Rais Samia.Ili kumpunguza nguvu imeamuliwa itengenezwe figisu kumuondoa kwenye uenyekiti.Lakin mwishoni chama kitakufa .Ndio dhumuni kubwa.Ili kumpunguza watu wenye nguvu ya kumusema mama Samia.
 
Sio chakwake. Waanzilishi ni akina Mabere Marando.
Tanzania mtu pekee anayemiliki chama ni Mbowe pekee

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Chadema kwani Mbowe ndio mwanzilishi?
Toka 2005 mpaka leo ccm imeshabadilisha viongozi watatu. Aliondoka Kikwete, akaja Magufuli. Baada ya Magufuli, amechukua mama Samia. Chadema toka mwaka 2005 hadi leo mwenyekiti ni yule yule, na mpaka leo hakuna matumaini ya demokrasia kutumika kumpata mwenyekiti mungine, cuf, nccr mwendo ni ule ule wa viongozi wa kudumu. Japo nccr wameonesha kuwa washachoshwa na ulaghai wa demokrasia uchwara ndan ya chama, nina imani safari hii watamng'oa iwe kwa njia ya demokrasia au nguvu za chama.
Magufuli alipokuwa akiajisi Chama CCM ilimfanya nini? Au dawa ndio kumuwekea sumu na kusingizia moyo?
 
Hiyo ni historia ya mapinduzi ndani ya vuama au utaratibu au ubashiri? Make katiba ndiyo inamfuta mtu uanachama na siyo ulivyosema. Japo sijui kwanini ujazungumzia waliofutwa uanachama ndani ya CCM japoua walishiri kwenye kuanzishwa CCM.
Ni kawaida sana kwenye siasa, hakuna permanent friendships or permanent enemies, there is only a common interests and conveniences, convenience zikiisha, you pat ways!.
  1. Mwanzilishi wa CUF ni James Mapalala akamkaribisha Maalim Seif Sharif Hamad na Prof. Lipumba, wakampindua, wakamfukuza.
  2. Mwanzilishi wa NCCR Mageuzi ni Mabere Marando, Prince Bagenda na Dr. Masumbuko Lamwai, wakamkaribisha Mrema, akawatimua
  3. Mwanzilishi wa TLP ni Senator Leo Lekamwa, akamkaribisha Mrema, Mrema akampindua na kumtimua
  4. Hata Chadema ni Freeman Mbowe aliwaleta Zitto Kabwe na Prof. Kutoka, you know walitaka kumfanya nini Mbowe!.

Back
Top Bottom