NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama

Chadema kama chama kuna umuhimu wakujifunza mambo mengi kutoka NCCR.kuwa mwenyekiti haimaanishi ndio top wa kila kitu kwenye chama.
Hata CCM, yule mwehu aliyekua akinajisi nchi mngemsimamisha uanachama tu badala ya kumpa sumu kisha mtudanganye eti ni matatizo ya moyo
 
kuanzia leo mimi ni NCCR‐Mageuzi, nilikuwa nakisubiri kwa hamu chama chenye ujasiri km huu. Ni mara ya kwanza katika nchi hii hiki kitu kinatokea. Kile chama kingine kazi ni kumtukana zitto tu basi na kupelekeshwa na mwenyekiti.
 
kuanzia leo mimi ni NCCR‐Mageuzi, nilikuwa nakisubiri kwa hamu chama chenye ujasiri km huu. Ni mara ya kwanza katika nchi hii hiki kitu kinatokea. Kile chama kingine kazi ni kumtukana zitto tu basi na kupelekeshwa na mwenyekiti.
ccm unamwachia nani
 
Pale chadema ukitaka kufanya jaribio kama hilo unaweza jikuta unafanana na Chacha Wangwe.
Ccm lilivyotaka kufanyika MANGULA alipewa sumu. Membe alifukuzwa chama. Hatimaye mungu ametenda maajabu
 
Well said mkuuu.
 
JUST IN:Mbatia amekuwa anamtukana Sana Rais Samia.Ili kumpunguza nguvu imeamuliwa itengenezwe figisu kumuondoa kwenye uenyekiti.Lakin mwishoni chama kitakufa .Ndio dhumuni kubwa.Ili kumpunguza watu wenye nguvu ya kumusema mama Samia.
Lakini Mama NI MTU wa maridhiano!
 
Bado yale ya 1995 pale Tanga yanajirudia
 
 
Chama chenye kutokuheshimiwa maamuzi yake ya sijui kamati kuu sijui halmshauri kuu na baraza kuuu yakiwakikishwa kwa msajili au bungeni ni kimoja tu CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…