Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

Hao waokoaji kwanini msingetandika makofi
 
CCM NI ILE ILEE!, ILE ILEE!
CCM MBELE KWA MBELE!
OOHH! NI ILE ILE!
CCM MBELE KWA MBELE!
MBELE KWA MBELE!
 
kituko ingekuwa waleee jamaa fulani ✌✌wasiopendwa na wale mbugila mbogamboga👷👷👷 wako kitaani wanaandamana ungejione mwenyewe ambacho kitakachotokea.. 💣💣💣💥💥💥🚔🚔🚔🚁🚁☁☁
 
CCM inalindwa na Polisi, Tiss na jeshi, hawahitaji sanduku la kura, wataendelea kuwepo tu pamoja na upuuzi wote huu.

CCM ndio inafika ukingoni km hulijui hili..the beginning of the end...
 
Yaani kuna maajabu makubwa nchi hii. Ni kama vile wanatafutwa watu wenye akili ndogo kabisa kuongoza mamlaka za Serikali.

Watanzania tuamke, tusikubali kuongozwa na watu wabinafsi, waongo, wenye upeo mdogo, wanaoamini kuwa kiongozi umepata nafasi ya kujinufaisha badala ya kuwatumikia wananchi.

Kamati ya maafa na uokozi ipo chini ya Waziri mkuu. Kwa tukio kama hili, Waziri Mkuu ajiuzulu mara moja au afukzwe kwa sababu msaada wake kwa usalama wa wananchi ni mdogo mno, na hastahili kufikiriwa katika nafasi yoyote ya umma.

Rais, jukumu lake la kwanza ni usalama na ulinzi wa watu. Taasisi zote za Serikali yake zimefeli. Awaombe msamaha wananchi, na aeleze amechukua hatua gani kuziwajibisha taasisi zote zinazohusiana na uokoaji.
 
Wanaojali usalama wao watahofu sana kuja Tanzania. Ni mahali hatari kiusalama, ukipatwa na tatizo lolote lile. Fikiria ndege hiyo ingeanguka huko katikati ya Ziwa au baharini.
 
Naunga mkono hoja 100%
 
Nimejisikia aibu sana...Kweli karne hii Mungu wangu, hakuna hata emergence boat kwenye uwanja ambao miaka kafhaa uwanja wa ndege upo karibu na ziwa? Nani ametuloga ndugu zangu?
Tabia ya CCM ya mupenda watu wenye upeo mdogo, watu wa ndiyo boss, waongoze kila taasisi.
 
Hatimaye mmetoa pole na hakuna wa kumuuta mtu ila ndiyo imetokea hivyo.

Msije sema ni kafara maana midomo ni mingi.
 
Daah nimewaza hawa ubalozi wa marekani wametuchukuliaje
Mpaka karne hii nchi haina vifaa vya uokozi daah sisi waafrica sijui tumelaaniwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…