Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini vitu kama rpoti za cag na skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuzima mic, kufukuza wabuaji kama ilivyo kwa sasa kina Mpina au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari navyo vilileta chachu ya kufukua zaidi na kutufungua macho.
Tulitegemea kiongozi ajae atadumisha utamaduni huu na kurekebisha mapungufu ya awamu ya Kikwete lakini kilichotokea ni opposite,
Then came a man known as Magufuli, Ni kweli kuna mapungufu ya awamu ya Kikwete aliyapunguza mfano kupunguza ajira za connection (Licha ya kwamba awamu yake ajira zilipungua) lakini alivuruga kabisa utamaduni ulioanzishwa wa kuimarisha uwanja huru wa siasa, uhuru wa maoni, n.k.
Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL", hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, kimbunga cha watu wasiojulikana, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato kulijengwa vitu vilvyoacha maswali mengi, n.k.
Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya

- Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
- Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
- Habari za ufisadi zilivuma, kulikuwa na uhuru wa kukosoa
- Mikataba mibovu iliwekwa wazi
- Uhuru mkubwa kwenye vyombo vya habari
- jitihada ya mchakato wa katiba mpya
- n.k.