Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
🐸🐸KUBWA JINGA katika Ubora wako!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🐸🐸KUBWA JINGA katika Ubora wako!!!
Akikujibu nitagWangelikuwa ni wapinzani wasingekubaliana na propaganda hizo.
Alichofanya Magufuli ni kuwataka waache ujinga wa kujiita wapinzani ilhali ni wakwamishaji tu wa juhudi zake.
Walimwelewa Magufuli kisha wakachukua hatua ya kuunga mkono juhudi za Magufuli.
Leo hii Magufuli hayupo lakini kina Nasary na kina Waitara hawajahama ccm..
Nikuulize swali... "wewe unaamini kuwa kuna wapinzani wa ukweli hapa Tanzania?
iwaKipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
- Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
- Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
- Uhuru mkubwa kwenye vyombo vya habari
- jitihada ya mchakato wa katiba mpya
- n.k.
Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini vitu kama rpoti za cag na skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuzima mic, kufukuza wabuaji kama ilivyo kwa sasa kina Mpina au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari navyo vilileta chachu ya kufukua zaidi na kutufungua macho.
Tulitegemea kiongozi ajae atadumisha utamaduni huu na kurekebisha mapungufu ya awamu ya Kikwete lakini kilichotokea ni opposite,
Then came a man known as Magufuli, Ni kweli kuna mapungufu ya awamu ya Kikwete aliyapunguza mfano kupunguza ajira za connection (Licha ya kwamba awamu yake ajira zilipungua) lakini alivuruga kabisa utamaduni ulioanzishwa wa kuimarisha uwanja huru wa siasa, uhuru wa maoni, n.k.
Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL", hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, kimbunga cha watu wasiojulikana, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato kulijengwa vitu vilvyoacha maswali mengi, n.k.
Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya
Huyu hajitambui kipindi cha Kikwete migomo ilikuwa kama yote, mgao wa umeme, ufisadi ulikuwa ni jambo la kawaida, mikataba mibovu mf kufaidika na 3% kwenye madini yetu ya Tanzania huku mgeni akipata 97%Pia kila kukiwa na mgomo Kikwete alikuwa na kawaida ya kwenda nje ya nchi.
iwa
Maghorofa kuanguka hovyo ilikuwa kawaida.Huyu hajitambui kipindi cha Kikwete migomo ilikuwa kama yote, mgao wa umeme, ufisadi ulikuwa ni jambo la kawaida, mikataba mibovu mf kufaidika na 3% kwenye madini yetu ya Tanzania huku mgeni akipata 97%
habari za ufisadi na mikataba mibovu zilivuma kwasababu kulikuwa na uhuru wa maoniHuyu hajitambui kipindi cha Kikwete migomo ilikuwa kama yote, mgao wa umeme, ufisadi ulikuwa ni jambo la kawaida, mikataba mibovu mf kufaidika na 3% kwenye madini yetu ya Tanzania huku mgeni akipata 97%
Kwahiyo wewe unaona sawa?habari za ufisadi na mikataba mibovu zilivuma kwasababu kulikuwa na uhuru wa maoni
Keshakimbia 😂😂Akikujibu nitag
100% agreed! Tumerudi nyuma saaaana kwenye demokrasia na kweli tunaongozwa na chura kiziwi!Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
- Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
- Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
- Habari za ufisadi zilivuma, kulikuwa na uhuru wa kukosoa
- Mikataba mibovu iliwekwa wazi
- Uhuru mkubwa kwenye vyombo vya habari
- jitihada ya mchakato wa katiba mpya
- n.k.
Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini vitu kama rpoti za cag na skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuzima mic, kufukuza wabuaji kama ilivyo kwa sasa kina Mpina au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari navyo vilileta chachu ya kufukua zaidi na kutufungua macho.
Tulitegemea kiongozi ajae atadumisha utamaduni huu na kurekebisha mapungufu ya awamu ya Kikwete lakini kilichotokea ni opposite,
Then came a man known as Magufuli, Ni kweli kuna mapungufu ya awamu ya Kikwete aliyapunguza mfano kupunguza ajira za connection (Licha ya kwamba awamu yake ajira zilipungua) lakini alivuruga kabisa utamaduni ulioanzishwa wa kuimarisha uwanja huru wa siasa, uhuru wa maoni, n.k.
Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL", hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, kimbunga cha watu wasiojulikana, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato kulijengwa vitu vilvyoacha maswali mengi, n.k.
Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya
kweli mkuuKipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
🤣🤣🤣Keshakimbia 😂😂