Mzee Chayai
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 429
- 782
Magufuli ametufundisha vingi sana, kwamba dola ni ccm na ccm ni dola, Rais anaweza kufanya chochote kile na hakuna wa kumzuia, ametufundisha kwamba neno la Rais ndiyo Demokrasia na wote lazima tutii na kufuata maono, matamanio na maelekezo yake,
Alituaminisha kwamba maendeleo yako ccm na ccm ndiyo maendeleo,
Na kubwa sana , ametufundisha kwamba ,Rais anaweza kufariki akiwa madarakani. Hii ni funzo kubwa sana ambalo hatukuwah kulipata hapo kabla.