Mzee Chayai
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 429
- 782
Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
- Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
- Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
- Uhuru wa kutoa maoni
- jitihada ya mchakato wa katiba mpya
- n.k.
Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuwazimia mic wapinzani au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari viliweka mambo wazi bila hofu, n.k.
Tulitegemea utamaduni huu utadumishwa but kilichotokea ni opposite
Then came a man known as Magufuli, Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL" hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato alikozalowa ilibustiwa sana, watu wasiojulikana, n.k.
Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya
Kutenguliwa kwa ubunge wa wabunge wa CCM mahakamani!! na upinzani kushinda!Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
- Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
- Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
- Uhuru wa kutoa maoni
- jitihada ya mchakato wa katiba mpya
- n.k.
Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuwazimia mic wapinzani au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari viliweka mambo wazi bila hofu, n.k.
Tulitegemea utamaduni huu utadumishwa but kilichotokea ni opposite
Then came a man known as Magufuli, Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL" hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato alikozalowa ilibustiwa sana, watu wasiojulikana, n.k.
Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya
Ww ndio umeongea ukweli ninaosema humu kila siku. Kutegemea maridhiano uchwara ya kitapeli kupata mabadiliko ni kujidanganya. Inatakiwa watu walazimke kuingia kwenye maridhiano baada ya wanaccm wengi nao kuuliwa na kuachwa na vilema vya maisha hasa viongozi wao.Hakuna kiongozi atakuja aweke mazingira bora ya kisiasa bila ya kupigana, kuuwana, na kuzikana.
Wewe ni mjinga mmoja hivi!Magufuli alikuwa shetani. Ameacha laana ambayo itaitafuna Tanzania kwa muda mrefu labda Mungu atuonee tena huruma. Unalaumu wapinzani kwani ndiyo wanaongooza nchi? Kama raia wanaishi maisha ya magumu na hawajitambui wapinzani ndiyo wafanye nini? Kama hao wapinzani hawafai kwa nini raia wasihakikishe wanasimama kidete kuhakikisha CCM inajisafisha?
Viongozi wangu kina nani? Au hujui CCM ndiyo inaongoza nchi? Unaona ulivyo mpumbavu! Kumbe hujui hata nchi inaongozwa nani. Chochote kinachoharibika lawama ni kwa CCM. Bila saka nyie ndiyo wale wajinga wanaoning'iniza magololi kwenye sofa wakisubiri viongozi wa upinzani wawaletee mabadiliko. Wanapoona hakuna mabadiliko wanaanza kutupa lawama kwa wapinzani. Kwa taarifa yako hata huko upinzani kuna matapeli wengi tu. Bila wananchi wajinga kama wewe kujitambua hakuna litakalobadilika.Wewe ni mjinga mmoja hivi!
Ujinga wa viongozi wenu kula kisirisiri na maccm, halafu unataka upinzani ushamiri nchini??
Jinga kabisa wewe
Hata kwenye mfumo wa Vyama vingi Wananchi walilazimishwa.Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
- Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
- Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
- Uhuru wa kutoa maoni
- jitihada ya mchakato wa katiba mpya
- n.k.
Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuwazimia mic wapinzani au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari viliweka mambo wazi bila hofu, n.k.
Tulitegemea utamaduni huu utadumishwa but kilichotokea ni opposite
Then came a man known as Magufuli, Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL" hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato alikozalowa ilibustiwa sana, watu wasiojulikana, n.k.
Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya
Jiwe alikuwa hovyo sana na mshamba sana PhD yake ya kufoji!Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
- Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
- Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
- Uhuru wa kutoa maoni
- jitihada ya mchakato wa katiba mpya
- n.k.
Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuwazimia mic wapinzani au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari viliweka mambo wazi bila hofu, n.k.
Tulitegemea utamaduni huu utadumishwa but kilichotokea ni opposite
Then came a man known as Magufuli, Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL" hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato alikozalowa ilibustiwa sana, watu wasiojulikana, n.k.
Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya
Uasisi wa hizi faulu za Uchaguzi ulianza kwa kuchafuana ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa 2005. Hadi sasa wanufaika wa Siasa hizo za janja janja wapo ndani ya CCM na ndio deep state au master mind wa mambo Nchi. Watanzania wakiendelea kulala watashituka Nchi imeuzwa kama alivyosema Ndugai. Watanzania wote bila kujali vyama vya siasa waamke kuinasua Nchi yao mikononi mwa watu wachache wasioitakia mema bali wanaweka mazingira ya kuifaidi Nchi wao na familia zao na marafiki zao.Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
- Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
- Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
- Uhuru wa kutoa maoni
- jitihada ya mchakato wa katiba mpya
- n.k.
Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuwazimia mic wapinzani au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari viliweka mambo wazi bila hofu, n.k.
Tulitegemea utamaduni huu utadumishwa but kilichotokea ni opposite
Then came a man known as Magufuli, Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL" hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato alikozalowa ilibustiwa sana, watu wasiojulikana, n.k.
Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya
Wewe ndio shetani mkubwa na hujitambui. Unamlalamikia marehemu wakati hayupo duniani. Umefanyanini cha maana toka aondoke 2021? Umebaki na majungu tu kama mwanamke malaya. Shithole mkubwa!Magufuli alikuwa shetani. Ameacha laana ambayo itaitafuna Tanzania kwa muda mrefu labda Mungu atuonee tena huruma. Unalaumu wapinzani kwani ndiyo wanaongooza nchi? Kama raia wanaishi maisha ya magumu na hawajitambui wapinzani ndiyo wafanye nini? Kama hao wapinzani hawafai kwa nini raia wasihakikishe wanasimama kidete kuhakikisha CCM inajisafisha?
Wewe umefanya nini cha maana sasa umebaki kulalamika tu malaya mkubwa!Jiwe alikuwa hovyo sana na mshamba sana PhD yake ya kufoji!
Umewahi kumwona shetani wewe? Hayupo lakini dini zinasema ni mbaya na bado analaaniwa. Hitler naye bado analaaniwa. Kwa kifupi ubaya haufutiki mtu anapofariki. Na aliyefanya mazuri naye atakumbukwa. Unauliza nimefanya nini tangu aondoke... umejuaje sijafanya kitu? Magufuli alikuwa shetani. Alise-set precedent mbaya sana kwa nchi yetu ambayo itachukuwa muda kuisha.Wewe ndio shetani mkubwa na hujitambui. Unamlalamikia marehemu wakati hayupo duniani. Umefanyanini cha maana toka aondoke 2021? Umebaki na majungu tu kama mwanamke malaya. Shithole mkubwa!
Umewahi kumwona shetani wewe? Hayupo lakini dini zinasema ni mbaya na bado analaaniwa. Hitler naye bado analaaniwa. Kwa kifupi ubaya haufutiki mtu anapofariki. Na aliyefanya mazuri naye atakumbukwa. Unauliza nimefanya nini tangu aondoke... umejuaje sijafanya kitu? Magufuli alikuwa shetani. Alise-set precedent mbaya sana kwa nchi yetu ambayo itachukuwa muda kuisha.
The problem with you is that whenever someone criticizes the failed CCM top leadership, you immediately conclude that they are a CHADEMA party member. What a nonsensical way of arguing! Ubongo wako umejaa elememets za unyumbu, matokeo ya elimu ya kukariri.View attachment 3147665
Nafikiri clip hii itakufaa sana wewe!
Shithole comment!The problem with you is that whenever someone criticizes the failed CCM top leadership, you immediately conclude that they are a CHADEMA party member. What a nonsensical way of arguing! Ubongo wako umejaa elememets za unyumbu, matokeo ya elimu ya kukariri.