Wewe usiyebet onyesha utajiri wako wa mabilioni Ili tuamini kama betting ni mbaya ukionyesha mabilioni Yako Mimi naacha betting Leo Leo ila kama huna hayo mabilioni fata maisha Yako hujaja na mtu duniani hapa
statistics zangu zilikua za 2023 manake ndani ya mwaka pameongezeka kampuni 20 kuna hizi umesahau mkeka bet,primeabet ,leon bet, parmatch ,bangbet hii ni dhoruba