Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

Binti mdogo tu AMEWAIBIA NA KAMALIZIA KUWAPA MIDDLE FINGER halafu Kuna makabwela wanaimba mitano Tena🙆

"Ni kama nchi HAINA mwenyewe" Polepole
 

Wewe mwananchi umefanya nini? Nepal waliopindua nchi sio wanajeshi.

Aidha wajeda wabongo wakali wakiona raia kavaa magwanda yao tu short of that hamna kitu. Mkunda kawekwa mfukoni hajui nini kinaendelea nchini.
 
Wewe jamaa unaongea blah blah tu. …hizo dolari alizoshikilia huyo binti huzioni? Na kama unaziona zina uhusiano gani na hizi porojo zako?
 
Bomba inatoa maziwa na Asali. 😔😔😔
 
🚮🚮
 
Watanzania sio wa kuwaonea huruma! hupaswi kuonea huruma majitu yanayosombwa kwenye malori kama nguruwe kwenda kuwapigia vigelegele watesi wao! Ukipata mrija na wewe pita NAO tu itajulikana mbele ya safari.
 
Fikiria leo ni tarehe 12 watumishi wengine wameshamaliza mshahara pamoja na salary advance wameshakula na bado siku nyingine 12 ndo mshahara mwingine uingie, halafu kitaa unakutana na habari kama hii na haufanyi chochote zaidi zaidi unasubiri tarehe 29 ifike ukawasaidie kujaza karakatasi za kura ma vema na kuzirundika masundukuni.

Hii laana hii haitaisha leo
 
Vipi zile tabiri zako??
 
Kumbe inside trade kwenye stock exchange hata bongo ipo😲😲
 
Mimi sijaelewa. Kwa hiyo anapofanya mabaya asisemwe au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…