Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

Ok tuambie basi wewe chawa wake anabiashara gani huyo binti ya kumuingizia hizo pesa za kula bata
 
Ata mimi pia moderators nilitoa uzi kama huu tena kabla ya huu ukafutwa au wao moderators wanafurahia ufisadi kama huu
 
Bora ukose pesa ila usikose akili kiufupi humu hamna kitu
 
Daniel Chongolo street, Block ya Kwanza tu ndo wanaishi, nyumba zao rangi zinafanana zote
 
Kwanza huyo binti adabu hana, pesa zetu za kodi halafu anatuonyesha tunayempa kiburi middle finga??!!
Ikifika ya Nepal atafute pa kukimbilia wahuni watamuonyesha hiyo middle finga kazi yake..!!
😂😂😂😂😂
 
Watanzania sio wa kuwaonea huruma! hupaswi kuonea huruma majitu yanayosombwa kwenye malori kama nguruwe kwenda kuwapigia vigelegele watesi wao! Ukipata mrija na wewe pita NAO tu itajulikana mbele ya safari.
Yaan inaumiza sanaa, 😢😢😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…