Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

Fake dollars za kupigia picha mbona zipo tu. Milioni 700 wanabeba kifuani? Halafu wanajipiga picha na kuziweka mtandaoni?? Please hata kama ulifeli la 7 B, basi tumia akili ya kuzaliwa. Chuki kwa matajiri isikufanye mpumbavu
Unajua dollar fake ilivyo kweli wewe au unaongea usivyovijua
 
Fake dollars za kupigia picha mbona zipo tu. Milioni 700 wanabeba kifuani? Halafu wanajipiga picha na kuziweka mtandaoni?? Please hata kama ulifeli la 7 B, basi tumia akili ya kuzaliwa. Chuki kwa matajiri isikufanye mpumbavu
Wewe jamaa mala useme dola feki, mara useme chuki kwa matajiri, mbona kama unajipinga mwenyewe? Nakupa tu msaada wa bure ili usijipinge mwenyewe tena maana inaonekana hueleweki hata unachosimamia. Kapuku ndio anabeba dola feki, tajiri anabeba dola halali. Sasa rudia upya ulichokiandika na utuambie unasimamia wapi.
 
kadri unavyozidi mzingua paka, ndio anavyonyanyua mkia..
Hapa vijana wa Nepal na Bangladesh wamekuelewa vizuri ila wale vijana wa Malawi wanaoimba Amanda na Afande sijui nini bado hawakuelewa
 
Inatisha
 
Nahisi kula sana ugali kumechangia kufanya vijana wa malawi wawe na akili za kuokoteza.
 
Dah,
ccm ni janga la taifa
 
Fake dollars za kupigia picha mbona zipo tu. Milioni 700 wanabeba kifuani? Halafu wanajipiga picha na kuziweka mtandaoni?? Please hata kama ulifeli la 7 B, basi tumia akili ya kuzaliwa. Chuki kwa matajiri isikufanye mpumbavu
Kama ni Dola fake mbona hawakamatwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…