Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

Who are you??Wewe inakuhusu Nini??
Mawasiliano ni privacy, na ndio maana wewe unapoongea kwa cm na MUME wako hakuna mtu anapaswa kuingilia mawasiliano yako!!!

ni concern ya kijinga sana.,🤔🤔
 
Who are you??Wewe inakuhusu Nini??
Mawasiliano ni privacy, na ndio maana wewe unapoongea kwa cm na MUME wako hakuna mtu anapaswa kuingilia mawasiliano yako!!!

ni concern ya kijinga sana.,🤔🤔
Who am i? Babako- does that make you sane?
 


Kwa kuwa we msukule basi unajua wengine ni kaka zako pia. Sio kila anayetoa mawazo yake ni msukule wa wanasiasa.

Yani uvccm hapo ndo umejitutumua umeona umetoa hoja ya maaana, halafu irrelevant sasa. Hakuna cha security wala mavi yake inayosurpass privacy, period. Inaonekana hata tafsiri ya uliyoyakopi hujui. Biden mwenyewe rais wa dunia hana haki ya kuingilia privacy hata ya mtoto wa mtogole kule ndanindani! Katoe kamasi kwanza ujielimishe. Msifanye watu wapumbavu kumbe mmeubeba nyie. Ingekuwa cha national security hii JF walipotaka Melo awape info za watu nini kilitokea? Pamoja na vitisho vyote na mabunduki yenu mlipata nini mbulula nyie? Mmempeleka mpaka mahakamani nini mlipata? Hawa sasa ndio watu wanaojua mambo sio unatuletea copy za vijisentensi ambavyo hata tafsiri hujui! Umesikia uvccm? Haya kimbia kaoge kwanza kabla hujarudi kwa wanaume
 

USA wanadukua mtu yoyote wanaowaona wako kinyume na maslahi ya USA. Malcolm X, Martin Luther King, Kennedy brothers, Black Panthers wote waliuliwa au kufungwa jela maisha. Kesi hazina majibu hadi kesho sababu serikali ilikuwa inajua wako wapi kila siku. Kuna document ziko wazi about surveillance. Wahusika wote walijua wanafuatiliwana mawasiliano yao yako intercepted.
 

Umeona hapo wamesema wamedukua info za ntu??? uvccm
 

..mambo hayo yalifanyika KINYUME NA SHERIA.

..Rais Richard Nixon alilazimika kujiuzulu kwasababu alidukua makao makuu ya timu ya kampeni ya mpinzani wake.

..Ni bahati mbaya kwamba kuna baadhi yetu mnaamini kwamba serikali ina ruhusa ya kudukua wananchi.
 

..hizo data zinahifadhiwa, zinalindwa.

..hazitolewi kihalifu ili kuwezesha matendo ya kigaidi.
 
..tuonyeshe ni mwanasiasa gani alidukuliwa na FBI / CIA halafu serikali ikasema kwamba kitendo hicho ni sahihi.
Halafu USA CIA na FBI walikuwa na taarifa zote kuhusu Malcolm X, Kennedy, Martin Luther, Panthers. Walikuwa wanajua hata girlfriends wa Martin Luther na Kennedy girlfriends wao hadi vinywaji vyao walikuwa wanasikiliza kila siku, kila kitu.

Vifo vyao hadi leo havieleweki. Mfano FBI walijua Kennedy brothers demu wao alikuwa Marylin Monroe, pia alikuwa demu wa Mafia boss. FBI waliwatumia hadi Mafia kutaka kumuua Kennedy, Castro, na ku wali intimidate wapigania uhuru/ haki kama Malcolm, King, President of USA.
 

Lete reference uvccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…