Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who are you??Wewe inakuhusu Nini??Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo.
Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo wa mawasiliano ya Lissu akiwa mteja wa Tigo.
Katika mawanda ya tamko la haki za binadamu, kila mtu anayo haki ya faraga, hivyo haikuwa sahihi Tigo kutoa siri za mteja wao -Lissu. Hata hivyo, Tamko la haki za binadamu linabainisha kuwa maslahi mapana ya taifa yata taramadi dhidi ya haki, stahiki na maslahi ya mtu au kikundi.
Aidha taarifa ya the Guardian haionyeshi ni kwa vipi kuvujishwa kwa taarifa za Lissu kwa serikali kunahusiana na kushambuliwa kwa Lissu.
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.
Google Search
www.google.com
Utetezi wa upande wa pili Mkuu.Halafu ndiyo apigwe risasi au unataka ku-justify nini sasa?
U spoiled the dish,Sema Bilionea Tundu Lisu
mwanamume mwenye mume dah...,na ndio maana wewe unapoongea kwa cm na MUME wako hakuna mtu anapaswa kuingilia mawasiliano yako!!!
Ngoja Mnyika amalizie Novena 🐼U spoiled the dish,
Haifai tena hata mkimpamba kwa namna gani, the issue is nani aliyempiga risasi, alitumwa na nani, kwa maslahi yepi?
Whatever it takes ndivyo ilivyo.Wazazi?! ambao baba unamuita DADDIIII na Mama mzazi unamuita Mother
We msukule wa Mbowe- national security/ interest supersedes all other interest.
Even today, human rights concerns continue to be subordinate to national security issues.Possibly the most obvious explanations of current policy are the September 11 terrorist attacks and the new American perception of vulnerability. If Americans believe they are under threat and human rights are viewed in competition with national security, it is no surprise that protecting the homeland will trump human rights promotion. Despite the growing role of the human rights movement, the critical element in “determining American foreign policy is what assets—bases, intelligence and diplomatic leverage—it can bring to bear against Al Qaeda,” Iraq, and other states seen as threats to the United States.
..USA wanadukua watu wa mataifa mengine.
..hawadukui wanasiasa au raia wa USA.
..USA pia wanaua raia wa nchi nyingine, lakini huwezi kusikia serikali yao imemuua mwanasiasa wa upinzani, au raia wao.
..juzi Trump aliposhambuliwa kuna viongozi wa Secret Service chombo cha serikali kinachohusika na ulinzi wa viongozi wamepoteza kazi zao.
..Hapa Tanzania viongozi wa walinzi wa serikali ktk eneo aliposhambuliwa Tundu Lissu hawakuchukuliwa hatua zozote kwa uzembe uliotokea.
Utakuwa umesisoma kwa haraka haraka. hebu soma hii aya
Apple said it “produced a wide variety of information associated with the investigation” after the FBI’s initial request on Dec. 6. The company said it provided “gigabytes of information” including “iCloud backups, account information and transactional data for multiple accounts” in response to further requests that month.
USA wanadukua mtu yoyote wanaowaona wako kinyume na maslahi ya USA. Malcolm X, Martin Luther King, Kennedy brothers, Black Panthers wote waliuliwa au kufungwa jela maisha. Kesi hazina majibu hadi kesho sababu serikali ilikuwa inajua wako wapi kila siku. Kuna document ziko wazi about surveillance. Wahusika wote walijua wanafuatiliwana mawasiliano yao yako intercepted.
What is domestic surveillance in the US?
DS involves the collection and warehousing of all domestically-generated information streams. The mission of the Domestic Surveillance Directorate is simple: Collect, process, and store U.S. citizen data for the good of the Nation.
Halafu USA CIA na FBI walikuwa na taarifa zote kuhusu Malcolm X, Kennedy, Martin Luther, Panthers. Walikuwa wanajua hata girlfriends wa Martin Luther na Kennedy girlfriends wao hadi vinywaji vyao walikuwa wanasikiliza kila siku, kila kitu...tuonyeshe ni mwanasiasa gani alidukuliwa na FBI / CIA halafu serikali ikasema kwamba kitendo hicho ni sahihi.
USA wanadukua mtu yoyote wanaowaona wako kinyume na maslahi ya USA. Malcolm X, Martin Luther King, Kennedy brothers, Black Panthers wote waliuliwa au kufungwa jela maisha. Kesi hazina majibu hadi kesho sababu serikali ilikuwa inajua wako wapi kila siku. Kuna document ziko wazi about surveillance. Wahusika wote walijua wanafuatiliwana mawasiliano yao yako intercepted.