Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo.

Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo wa mawasiliano ya Lissu akiwa mteja wa Tigo.

Katika mawanda ya tamko la haki za binadamu, kila mtu anayo haki ya faraga, hivyo haikuwa sahihi Tigo kutoa siri za mteja wao -Lissu. Hata hivyo, Tamko la haki za binadamu linabainisha kuwa maslahi mapana ya taifa yata taramadi dhidi ya haki, stahiki na maslahi ya mtu au kikundi.

Aidha taarifa ya the Guardian haionyeshi ni kwa vipi kuvujishwa kwa taarifa za Lissu kwa serikali kunahusiana na kushambuliwa kwa Lissu.
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.
Uko tayari kupokea exact evidence ? Hutakwepa na kubadili maneno ? Una kifua cha kisiasa ? Unatuzuga ? Una technology kuharibu recorded pictures videos ? Unaipenda nchi yako ? Ikiumbuliwa unafaidika au inaaibika ?
 
..waliodukua wajitokeze.

..waliompiga risasi pia wajitokeze.

..baada ya hapo waeleze sababu za kujaribu kumuua.

..Huenda sababu zao zina uzito na zitakubalika na Watanzania.

..kinyume cha hapo inaonekana kwamba walitaka kumuua Lissu bila sababu.

NB.

..mwaka 1983 serikali ilimuua mwanajeshi anaitwa Capt Tamim. Serikali haikujificha ilieleza kwanini walimuua. Na Watanzania walielewa.
Huyo aliyefukuzwa au X wa Tigo anasema taarifa zilipelekwa serikali wala serikali haikudukuwa. Tuelewane hilo kwanza. Kama umelewa sema niendelee
 
Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo.

Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo wa mawasiliano ya Lissu akiwa mteja wa Tigo.

Katika mawanda ya tamko la haki za binadamu, kila mtu anayo haki ya faraga, hivyo haikuwa sahihi Tigo kutoa siri za mteja wao -Lissu. Hata hivyo, Tamko la haki za binadamu linabainisha kuwa maslahi mapana ya taifa yata taramadi dhidi ya haki, stahiki na maslahi ya mtu au kikundi.

Aidha taarifa ya the Guardian haionyeshi ni kwa vipi kuvujishwa kwa taarifa za Lissu kwa serikali kunahusiana na kushambuliwa kwa Lissu.
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.
Kwa hiyo umeamua kuthibitisha hapa jamii forum kuwa ni kweli uliferi kidato cha nne kwa kuandika hizi pumba
 
Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo.

Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo wa mawasiliano ya Lissu akiwa mteja wa Tigo.

Katika mawanda ya tamko la haki za binadamu, kila mtu anayo haki ya faraga, hivyo haikuwa sahihi Tigo kutoa siri za mteja wao -Lissu. Hata hivyo, Tamko la haki za binadamu linabainisha kuwa maslahi mapana ya taifa yata taramadi dhidi ya haki, stahiki na maslahi ya mtu au kikundi.

Aidha taarifa ya the Guardian haionyeshi ni kwa vipi kuvujishwa kwa taarifa za Lissu kwa serikali kunahusiana na kushambuliwa kwa Lissu.
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.
"Tulikuwa tunatrepu simu yake ,alikuwa anawasiliana na Mwanyika ,leta document ile ,mara leta document hii ,thats the goverment ,vita ya kiuchumi ni ngumu sana ,bora vita ya kawaida adui unamuona ,jeshini wanajua dawa ya msaliti ,hauwezi kuwa msaliti halafu uka-survive" - JIKONO JANDAMA 07 SEPT 2017 ,MALINYI MOROGORO.
 
Unakumbuka serikali hiyo hiyo ilitaka ipewe taarifa za members wa JF na hawakuzipata?
mkuu soma tena hii aya
Apple continues to refuse Barr’s request that it help find a way for law enforcement to access encrypted devices with a court order, like the one Apple resisted in 2016 in the case of a shooter’s iPhone in San Bernardino, California. In that case, the point was dropped when the FBI was able to crack into the phone without Apple’s help, but the incident raised questions about the balance between civil liberties and public safety that have yet to be settled.
 
Miongoni mwa ngoma ngumu kucheza, hii huenda ikawa moja wapo!
Apple continues to refuse Barr’s request that it help find a way for law enforcement to access encrypted devices with a court order, like the one Apple resisted in 2016 in the case of a shooter’s iPhone in San Bernardino, California. In that case, the point was dropped when the FBI was able to crack into the phone without Apple’s help, but the incident raised questions about the balance between civil liberties and public safety that have yet to be settled.
 
Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo.

Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo wa mawasiliano ya Lissu akiwa mteja wa Tigo.

Katika mawanda ya tamko la haki za binadamu, kila mtu anayo haki ya faraga, hivyo haikuwa sahihi Tigo kutoa siri za mteja wao -Lissu. Hata hivyo, Tamko la haki za binadamu linabainisha kuwa maslahi mapana ya taifa yata taramadi dhidi ya haki, stahiki na maslahi ya mtu au kikundi.

Aidha taarifa ya the Guardian haionyeshi ni kwa vipi kuvujishwa kwa taarifa za Lissu kwa serikali kunahusiana na kushambuliwa kwa Lissu.
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.
Mmechelewa sana kujitetea.

Wauaji wakubwa ninyi
 
Unakumbuka serikali hiyo hiyo ilitaka ipewe taarifa za members wa JF na hawakuzipata?
Apple continues to refuse Barr’s request that it help find a way for law enforcement to access encrypted devices with a court order, like the one Apple resisted in 2016 in the case of a shooter’s iPhone in San Bernardino, California. In that case, the point was dropped when the FBI was able to crack into the phone without Apple’s help, but the incident raised questions about the balance between civil liberties and public safety that have yet to be settled.
 
Huyo aliyefukuzwa au X wa Tigo anasema taarifa zilipelekwa serikali wala serikali haikudukuwa. Tuelewane hilo kwanza. Kama umelewa sema niendelee

..kudukua ni kuchukua mawasiliano ya mtu bila ridhaa yake, na nje ya utaratibu wa KISHERIA.

..huyo X wa Tigo anasema taarifa za Lissu zilipelekwa serikalini bila kufuata utaratibu wa kisheria.
 
Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo.

Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo wa mawasiliano ya Lissu akiwa mteja wa Tigo.

Katika mawanda ya tamko la haki za binadamu, kila mtu anayo haki ya faraga, hivyo haikuwa sahihi Tigo kutoa siri za mteja wao -Lissu. Hata hivyo, Tamko la haki za binadamu linabainisha kuwa maslahi mapana ya taifa yata taramadi dhidi ya haki, stahiki na maslahi ya mtu au kikundi.

Aidha taarifa ya the Guardian haionyeshi ni kwa vipi kuvujishwa kwa taarifa za Lissu kwa serikali kunahusiana na kushambuliwa kwa Lissu.
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.
Haha mmeshikiwa mikei mnaanza kuhaha
 
Back
Top Bottom