Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

Mkuu kwani hizo taarifa ndizo zilizompiga risasi? Hivi hujui na siyo siri kuwa taarifa zako serikali inazo au wakizitaka watazipata- kwenye simu zenu hizo hakuna siri; ndiyo maana wenye akili wote wala hawazitumii
Hivi tumia akili hata ya kuvukia barabara, ndio wakizitaka wanazipata, kwanini sasa wazitake siku chache kabla na mpaka siku ya shambulio? Tukisema wanahusika tunakosea?
 
Wapi wamesema walidukua private information uvccm? Irrelevant! Nenda kwa ras simba kwanza ukutafsirie. Unaonekana kijana mdogo mwenye ufahamu mdogo sana, na unafikiri ukijitoa ufahamu na uvccm upo salama. Alikuwepo nape, makamba na kinana na wote walidukuliwa kinyume na sheria, jipendekeze tu siku wanakuwasha tu na picha zako za ngono ulizojaza kwnye kimeo chako.

Uvunjifu wa sheria unatakiwa kupingwa kwa nguvu zote bila kujali we uvccm wala bavicha
 
Hivi tumia akili hata ya kuvukia barabara, ndio wakizitaka wanazipata, kwanini sasa wazitake siku chache kabla na mpaka siku ya shambulio? Tukisema wanahusika tunakosea?
Sana tu tena big time- unapiga ramli tu
 
Wapi wamesema walidukua private information uvccm? Irrelevant! Nenda kwa ras simba kwanza ukutafsirie. Unaonekana kijana mdogo mwenye ufahamu mdogo sana, na unafikiri ukijitoa ufahamu na uvccm upo salama. Alikuwepo nape, makamba na kinana na wote walidukuliwa kinyume na sheria, jipendekeze tu siku wanakuwasha tu na picha zako za ngono ulijaza kwnye kimeo chako.

Uvunjifu wa sheria unatakiwa kupingwa kwa nguvu zote bila kujali we uvccm wala bavicha
Hivi unajua kusoma au mpaka Lissu akusomee
 
Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo.

Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo wa mawasiliano ya Lissu akiwa mteja wa Tigo.

Katika mawanda ya tamko la haki za binadamu, kila mtu anayo haki ya faraga, hivyo haikuwa sahihi Tigo kutoa siri za mteja wao -Lissu. Hata hivyo, Tamko la haki za binadamu linabainisha kuwa maslahi mapana ya taifa yata taramadi dhidi ya haki, stahiki na maslahi ya mtu au kikundi.

Aidha taarifa ya the Guardian haionyeshi ni kwa vipi kuvujishwa kwa taarifa za Lissu kwa serikali kunahusiana na kushambuliwa kwa Lissu.
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.
Nenda kaiambie hayo mahakama ya uingekeza inayosikikiza kesi kwamba hayo unayodai yamo ndani ya katiba yetu, ni ruksa kwa Serikali kufuatilia mawasiliano ya raia.

Soon tutajua mauchafu yote chini ya godoro.
 
Hivi Tanzania ina kesi huko UINGEREZA?
 
Wapi wamesema walidukua private information uvccm? Irrelevant! Nenda kwa ras simba kwanza ukutafsirie. Unaonekana kijana mdogo mwenye ufahamu mdogo sana, na unafikiri ukijitoa ufahamu na uvccm upo salama. Alikuwepo nape, makamba na kinana na wote walidukuliwa kinyume na sheria, jipendekeze tu siku wanakuwasha tu na picha zako za ngono ulijaza kwnye kimeo chako.

Uvunjifu wa sheria unatakiwa kupingwa kwa nguvu zote bila kujali we uvccm wala bavicha
 
The Washington Post has started running an investigative series, called the Pegasus Project, that describes the expanded use of digital surveillance by governments worldwide. The reports expose how powerful software provided by the Israeli firm NSO Group has been used by states to hack into citizens’ smartphones, track their communications, and acquire incriminating information, sometimes as a prelude to assassination. unajua kusoma au mpaka Lissu akusomee

Maana yake nini hii? Kijana hawa pegasus ndio jiwe aliwaleta illegally kudukua wapinzani wake. Washington ilikuwa inachunguza huu uvunjifu wa sheria, nakusaidia kdg. Hamna udukuzi Marekani hata kurekodi call ya mtu aliyekupigia tu hamna anayeweza mnafanya huko makorongoni tu.
 
Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo.

Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo wa mawasiliano ya Lissu akiwa mteja wa Tigo.

Katika mawanda ya tamko la haki za binadamu, kila mtu anayo haki ya faraga, hivyo haikuwa sahihi Tigo kutoa siri za mteja wao -Lissu. Hata hivyo, Tamko la haki za binadamu linabainisha kuwa maslahi mapana ya taifa yata taramadi dhidi ya haki, stahiki na maslahi ya mtu au kikundi.

Aidha taarifa ya the Guardian haionyeshi ni kwa vipi kuvujishwa kwa taarifa za Lissu kwa serikali kunahusiana na kushambuliwa kwa Lissu.
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.
uko sahihi ili kuwe na mlingano kati mazunguzo ya lisu hadi kupigwa lisasi
 
Uko tayari kupokea exact evidence ? Hutakwepa na kubadili maneno ? Una kifua cha kisiasa ? Unatuzuga ? Una technology kuharibu recorded pictures videos ? Unaipenda nchi yako ? Ikiumbuliwa unafaidika au inaaibika ?
Kipi kinaliangamiza Taifa kati ya kuficha mikataba mibovu inayoingiwa na serikali au wakili ambaye anatafuta data ya mikataba hiyo kwenye Kampuni ambayo imefanywa na wahalifu na maamuma wa sharia ndani ya serikali ?

Usijaribu kuhalalisha uvunjwaji wa haki za binadamu unaofanywa na watu waovu waliojificha kwenye Serikali.
Dunia ilitoka kwenye unyama mkubwa sana uliokua unafanywa na watawala kwa karne nyingi sana .
Wapigania haki,wapinzani na wahalifu walikua wanauawa kwa kuchunwa ngozi,kuchinjwa ,kutendwa kama mbao,kuchelshwa kama samaki n.k. Watawala wa Dunia hii wamekua ni watu waovu kuliko shetani kwa muda mrefu sana. Tamko la haki za binadamu ndilo lililofanikiwa kuleta unafuu na ustaarabu tulio nao ambapo Afrika bado kuna watawala wanatamani kututawala kinyama bila kuheshimu sheria na mikataba ya kimataifa kuhusu haki za binadamu na utawala bora.
 
..mambo hayo yalifanyika KINYUME NA SHERIA.

..Rais Richard Nixon alilazimika kujiuzulu kwasababu alidukua makao makuu ya timu ya kampeni ya mpinzani wake.

..Ni bahati mbaya kwamba kuna baadhi yetu mnaamini kwamba serikali ina ruhusa ya kudukua wananchi.

Ni hivi serikali zote duniani zinafanya hivyo, mtu yoyote msumbufu huwa anafuatiliwa. Wewe
Ukiwa serikalini ukiona mtu ana ushawishi, anataka kukuondoa utamfatilia legally or illegal. Mimi nakwambia jinsi serikali yoyote duniani navyofanya kazi. Lengo leo ni kubaki na madaraka.
 
"While the data purchased from data brokers does not involve the content of Americans’ communications, Nakasone wrote, the data is “related to wholly domestic internet communications and internet communications where one side of the communication” is located inside the United States and the other side is located abroad.

Nakasone added that the NSA does not purchase cellphone location data of Americans or location data generated by automotive infotainment systems in the United States.

In a statement to CNN, the NSA affirmed that it buys the data from private vendors.

“NSA purchases commercially available Netflow data for its cybersecurity mission, to include but not limited to inform the Agency’s collection, analysis, and dissemination of cyber threat intelligence,” an NSA official said. “At all stages, NSA takes steps to minimize the collection of U.S. person information, to include application of technical filters.”

The NSA uses the commercially purchased data to support its cybersecurity and foreign intelligence missions, according to Nakasone’s letter and the NSA official. The NSA’s mission includes defending US military networks from foreign hacking."

Umeelewa??? Wapi wamesema wana haki ya kudukua?
 
The Government Really Is Spying On You — And It’s Legal​

Consumer data has become a lucrative commodity, and the US government is buying.
A photo illustration of a cellphone against an eye-shaped graphic made up of data points.

POLITICO illustration/Photos by iStock
By STEVEN OVERLY
02/28/2024 05:00 AM EST

The freakout moment that set journalist Byron Tau on a five-year quest to expose the sprawling U.S. data surveillance state occurred over a “wine-soaked dinner” back in 2018 with a source he cannot name.
The tipster told Tau the government was buying up reams of consumer data — information scraped from cellphones, social media profiles, internet ad exchanges and other open sources — and deploying it for often-clandestine purposes like law enforcement and national security in the U.S. and abroad. The places you go, the websites you visit, the opinions you post — all collected and legally sold to federal agencies.

Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo.

Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo wa mawasiliano ya Lissu akiwa mteja wa Tigo.

Katika mawanda ya tamko la haki za binadamu, kila mtu anayo haki ya faraga, hivyo haikuwa sahihi Tigo kutoa siri za mteja wao -Lissu. Hata hivyo, Tamko la haki za binadamu linabainisha kuwa maslahi mapana ya taifa yata taramadi dhidi ya haki, stahiki na maslahi ya mtu au kikundi.

Aidha taarifa ya the Guardian haionyeshi ni kwa vipi kuvujishwa kwa taarifa za Lissu kwa serikali kunahusiana na kushambuliwa kwa Lissu.
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.
Mpaka kina mzee Makamba waliduliwa na wala haikuwa kwa maslahi ya taifa, bali madaraka ya dhalimu magufuli. Huo mchezo wa kudukua simu za watu ulifanywa sana na dhalimu magufuli, na lengo lake halikiwa maslahi ya taifa bali kuwakomoa na kuwapoteza waliokuwa wanampinga.
 
Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo.

Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo wa mawasiliano ya Lissu akiwa mteja wa Tigo.

Katika mawanda ya tamko la haki za binadamu, kila mtu anayo haki ya faraga, hivyo haikuwa sahihi Tigo kutoa siri za mteja wao -Lissu. Hata hivyo, Tamko la haki za binadamu linabainisha kuwa maslahi mapana ya taifa yata taramadi dhidi ya haki, stahiki na maslahi ya mtu au kikundi.

Aidha taarifa ya the Guardian haionyeshi ni kwa vipi kuvujishwa kwa taarifa za Lissu kwa serikali kunahusiana na kushambuliwa kwa Lissu.
Tanzania na watanzania tuna haki ya kujua nani walikuwa wanawasiliana na Lissu na maudhui ya mawasiliano yao.
Mpaka kina mzee Makamba walidukuliwa na wala haikuwa kwa maslahi ya taifa, bali madaraka ya dhalimu magufuli. Huo mchezo wa kudukua simu za watu ulifanywa sana na dhalimu magufuli, na lengo lake halikuwa maslahi ya taifa bali kuwakomoa na kuwapoteza waliokuwa wanampinga.
 
Back
Top Bottom