Huyu ndio mtu wa kwanza kunikaribisha mdogo wake jf na alivyoona akili zangu chenga bas akanichukulia km nilivyo mzaramo wake πππLeo acha nikuambie huu ukweli, lamomy anakuheshimu na kukupenda sana
Sijui kwa nn, wakati kwa wengine ni mkorofi sana[emoji23]
Tuma namba unywe Hennessy shem wako yuko serious ila usinisahau kwenye ufalme wako πππWe mwenyewe unajua ninavyomuelewa Shemeji yangu, mzingatie sana
Ninyamaze tu ila ukweli unaujua πππSijakuwashia moto bana, always nipo polite[emoji23]
Huyu anazingua tu watu huku, kuna siku watam-tight kweli[emoji23]We mwenyewe unajua ninavyomuelewa Shemeji yangu, mzingatie sana
Powa, ila imefungwa. Ngoja nimuambie lamomy aondoe maana mm natumia app na kwa app haiwezekani kufunguaSawa shemeji nakutumia number PM ,,nangoja blessing zako unibless[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23] ni-tag huko alipochimbwa biti nikamsaidieHuyu ndio mtu wa kwanza kunikaribisha mdogo wake jf na alivyoona akili zangu chenga bas akanichukulia km nilivyo mzaramo wake [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mume akanipatia ni Mkantrywizzy hataki kusikia mwingine ananinyapia!!!
Kuna mmoja jana kamchimba biti mpk kakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namtumia lamomy atakupaPowa, ila imefungwa. Ngoja nimuambie lamomy aondoe maana mm natumia app na kwa app haiwezekani kufungua
Namfungulia pm ajimwage kwa raha zake sisy πππPowa, ila imefungwa. Ngoja nimuambie lamomy aondoe maana mm natumia app na kwa app haiwezekani kufungua
Fungua pm yangu, mm natumia appTuma namba unywe Hennessy shem wako yuko serious ila usinisahau kwenye ufalme wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Kantrywizzy hanaga kona kona anakutumia kweli, week end yako leo
PowaNamtumia lamomy atakupa
Fanya hivyoNamfungulia pm ajimwage kwa raha zake sisy [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani naonaga kila mnaigeria ni tapeli.Muda ukiruhusu, nitapenda kukaa Nigeria kwa muda kama mwezi mmoja hivi. Nataka nijue siri ya wao kutapakaa dunia nzima kwa wingi.
Wakenya ni wajasiri, lakini nafikiri Wanigeria wametia fora.
Canada na USA kipengele kupata visa. Unaweza ukaomba visa na kukaa mwaka bila kupata appointment ya interviewDar, Mwanza na Arusha! Hiyo nayo pia ni hatua.
Safari moja ni chanzo cha safari nyingine.
Nimeiweka USA na Canada mwishoni kwa makusudi.
Nimeelezwa na wazoefu kuwa ni changamoto kupata viza, lakini passport ikiwa na "muhuri" mingi inaweza ikawa rahisi kukubalika.
Nimejaribu kufikiri kuwa wakiona kuwa nimeshafika DUBAI, CHINA, UGIRIKI, UTURUKI, ISRAELI na UINGEREZA, ni rahisi kunikubalia kuitembelea nchi yao.
Tayari kamtumieFanya hivyo
Mama mwenye password yangu πππFungua pm yangu, mm natumia app
Nyie watu wangu wa nguvu sanaTayari kamtumie
Nimeipata, soon tu kuna mtu namcheki akakuwekee kupitia wakalaNyie watu wangu wa nguvu sana
Wanaofanikiwa kupata haraka wanatumia mbinu gani?Canada na USA kipengele kupata visa. Unaweza ukaomba visa na kukaa mwaka bila kupata appointment ya interview
Kiufupi hawataki waafrika kwenda huko kwa wingi, wanajua watazamiaWanaofanikiwa kupata haraka wanatumia mbinu gani?
Nilishangaa mtu mmoja ninayemfahamu ambaye alishakaa Australia na nchi zingine kadhaa, alipotaka kwenda Canada, eti walimnyima visa! Wanatumia vigezo gani kuamua wa kumpa na wa kumyima?
Kuna mwingine alitaka kwenda Canada Kimasomo, walimnyima, lakini alipojaribu Marekani, alifanikiwa.
Hawana kanuni inayoeleweka katika kufanya maamuzi?