Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
Kwa upinzani huu wa kupinga kila kitu sitarajii jipya lolote, upinzani wa kukutuhumu fisadi ukihamia upande wao wanakusafisha….Ndugu yangu Katiba na sheria tulizojiwekea wenyewe ni muhimu zikafuatwa na katiba ndio mkataba wetu kati ya watawala na watawaliwa ndio the mother law of all laws, sasa ni muhimu kuifuata kwa kujali rule of law, kujali haki za binadamu.
Mjinga wewe pia hujui kuwa vikwazo mbalimbali vinavyowekwa na wanufaika wa demokrasia ndio hudidimiza Maendeleo ya nchi husika.Ukisikia mtu kuwa mjinga, hii ndiyo maana halisi.
Huyu haelewi hata maana ya maendeleo. Hajui kuwa demokrasia ni sehemu ya maendeleo. Hajui kuwa hata katika kanda hii ya Afrika, nchi yenye maendeleo mazuri ya kiuchumi ni Botswana, na Botswana ni kati ya nchi zinazoongoza kwa maendeleo ya demokrasia.
Huyu mjinga hajui kuwa North Korea ilikuwa kwenye hali bora zaidi kuliko South Korea miaka ya 40, lakini udikteta wa North Korea umeifanya hicho hiyo kutopea kwenye umaskini wa kiuchumi ukilinganisha na South Korea yenye demokrasia.
China ilikuwa sawa na Japan, miaka 60, lakini leo Japan ni tajiri maradufu ya China yenye udikteta, tena hali ya China imekuwa afadhali sasa baada ya kuondokana na udikteta ule uliotopea. Leo Japan ni nchi ya 19 katika human development, China ni nchi ya 86, ikizidiwa na hata ya baadhi ya nchi za kiafrika.
Pia linganisha maendeleo ya Hong Kong yenye demokrasia tele na China yenye udikteta. Leo hii Hong Kong na Netherlands ndizo zinazoongoza kuwekeza nchni China.
Sikujua kumbe u mjinga kiasi hicho ndio maana unachezesha takoIli nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Demokrasia ndiyo inafanya wanasiasa kuahidi vitu free, tena kwa gharama za wengine. Matokeo yake ni kodi na deni la taifa kuongezeka kila siku. Hizi tozo zinaongezeka kila siku ni matokeo ya demokrasia.Ndio quality of thinking ya watu wetu ndio hii?
Yaani kama mwanadamu unataka all your rights and freedoms be confiscated by a group of stupid people called politicians from ccm of course that they will give you free meals and development?
Dont bring authoritarianism here,thats for cows and other mifugo...we are human beings!
You are voting politicians into power kwa ahadi that they will provide free things to you on expense of others then you will have no right to complain when one day they come and take your wealth and distribute to others and for themselves too!
Wewe inaonekana upo hoi kwenye uelewa.Badala yake nchi ambayo haina Demokrasia kama Misri ndiyo inaendelea. Ina sera bora za Uchumi nk. Morocco ya kifalme iko mbali kabisa. Hadi tunawaomba watujengee uwanja. Libya ya Gaddafi ilikuwa mbali sana. Hapo hatujazungumzia jinsi South Korea na Singapore zilivyoendelea bila demokrasia. Hatujazungumzia Malaysia ilivyopiga hatua kubwa kimaendeleo chini ya demokrasia fake.
Kwa upinzani huu wa kupinga kila kitu sitarajii jipya lolote, upinzani wa kukutuhumu fisadi ukihamia upande wao wanakusafisha….
Upinzani wa kuwa mawakili wa wanyonyaji big no. Rwanda inakimbia, Tanzania yenye square kilometers karibia elfu moja inachechemea, tutakumbuka shuka pamekucha.
Maendeleo South Korea na Singapore hayajapatikana chini ya demokrasia. Na hao Malaysia walikuwa na Demokrasia jina. Soma historia zao, usiangalie zilivyo sasa.Wewe inaonekana upo hoi kwenye uelewa.
Unaifahamu South Korea na Singapore au unasimuliwa tu. Wenzio tumeishi kwenye hayo mataifa. Singapore, South Korea, Hong Kong, Malaysia, demokrasia katika nchi hizo ni ya kiwango cha juu kabisa, kinachozikaribia Nordic Countries.
Umeongea ukweli demokrasia inaleta division kama mbinu ambazo mkoloni alitumia kumtawala mtu mweusi
divide and rule
Alikuja Meko hapa katawala miaka 5 tu....
mmeimba nyimbo zote nawashauri bakini na demokrasia yenu
Huo ni uzembe. Kwa sababu hakuna mbadala basi tusitoe madhaifu ya mfumo uliopo! Kujua tatizo ni hatua kubwa sana.Ni rahisi sana kusema demokrasia haifai,of which ni kweli
Una mbadala wake dunia hii mpaka leo?
HAKUNA!
Hivyo nyamaza kaa kwa kutulia!
What exactly are you trying to imply with your quotations? Does that supposed to mean I don’t have rights to comment about anything in regards to Rwanda just because I’m not a Rwandese!Speaking of Rwanda, there is a wisdom saying " it is wearer who knows where the shoe pinches" na waswahili wakasema "kitanda usichokilalia hauwezi kujua kunguni wake".
Wapinzani ni kama kioo ambacho kinakupa reflection ya kuona wapi umekosea, sio wakati wote wataongea mabaya wakati mwingine wanashauri kwa maslahi ya taifa, kuna msemo pia unasema unapoenda kwenye mashindano ambayo unashindana wewe mwenyewe obviously utaibuka wewe ndio mshindi.
Ukitaka accountability and check and balance lazima uache kuona wapinzani wako kama maadui.
#Mama 2025.
Prodigious comment.NENO LA UKWELI SIYO ZURI , NA NENO ZURI HALINA UKWELI NDANI YAKE .
Kabisa, huwezi jenga uchumi kwa mbinu za kidemokrasia. Demokrasia ni anasa ya matajiri.HII IPO WAZI , HAKUNA NCHI ILIYOPATA MAENDELEO IKIWA CHINI YA DEMOCRACY,
democrasia ni Propaganda za western countries kuingilia mambo ya nchi zisizoendelea ,...( AMINI ).
Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Sawa Mkuu.What exactly are you trying to imply with your quotations? Does that supposed to mean I don’t have rights to comment about anything in regards to Rwanda just because I’m not a Rwandese!
Baki na ideological boundaries za mjerumani, mimi nakupa facts za mwanadamu kiujumla duniani.
demokrasia haina uhusiano wa moja kwa moja na maendeleo ila ni chanzo kikubwa ya mambo kwenda pole pole sana! msururu mrefu usio na mantiki
Kwa hiyo nchi fukara hazihitaji katiba?Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya
Mkuu, ni wachache watakao elewa.Ili nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu na uthubutu. Maamuzi ambayo muda mwingine hayatapendwa na wananchi. Mambo kama haya hayawezekani chini ya demokrasia.
Hata wanaotuhubiria demokrasia kila siku wanajua kuwa haifai pale maamuzi magumu yanapohitajika. Ndiyo maana mataifa yenye nguvu yamejipa kura ya Veto umoja wa mataifa. Na pengine ndiyo maaana wanatuhubiria kila siku tuwe na demokrasia, wakijua kuwa tukiwa na demokrasia tutabaki maskini siku zote.
Demokrasia inabidi kuangaliwa upya