Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

Huu sasa ni ulimbukeni. Unadhani wewe ndiyo bora kuliko wengine. Unachotakiwa kujua ni kuwa chakula ni utamaduni. Unachoona ni kizuri kwako kinaweza kuwa kibaya kwa mwenzako.
Hapana. Kuna vyakula vya ovyo tu hakuna cha utamaduni wala nini. Hata wamasai wakiwekewa Loshoro na biriani kuku watachagua biriani kuku. Wewe ni limbukeni.
 
Kitafunwa ndio nini? Breakfast ni chakula pia,
 
Zile silesi kumi na mbili namaliza labda na maharage au supu ila mkate na chai kaahhh..hapana
Slices 12!! Rey bhana hapo umetuuza,
Mimi nakula sana mkate na hata usiku huu nimetoka kula huo huo na Mayai mwanzo nilikula wali ukawa haushuki kabisa nikaachana nao nikapiga mkate wangu niko fresh kabisa,

Slices 2 tu hua sizidishi hapo.
 
Mikate ya Ulaya usifananishe na hii yenu kama Godolo, Nenda Supermarket kubwa huw wanaileta, mkate unazuwa sh 7000/ kuna mikate Whole grain acha kabisa ile wanakula matajiri, shida tusha kalili
 
Nawakumbuka vizuri sana hao wa kijijini ila hakuna kazi ngumu sikuhizi
Inawezekana nisikikatalie, maana hata hawa wanaoshusha majunia ya mchele na maharage, kwenye malori yalosheni mzigo au hawa waendesha guta, wanaweza kula mkete ukawa mko tosha, hakuna kazi ngumu siku hizi.
 
Kuna kipindi Zimbabwe mkate ulipanda bei watu waliandamana kabisa 🤣
SA mkate, chips,Kota,Magwinya pembeni Una Cold drink siku imeenda hiyo mdukuzi kama umekaa Cape basi umenielewa vyema..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…