Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

Bongo kuna vyakula vitamu sana. Ukienda kwa majirani utawaonea huruma vyakula vyao na jinsi wanavyovipika. Kenya wana ile githeri.

South Africa wanachakula chao wanakiita MPOKOTO.. ibaki kusema bongo kuna vyakula vingi na vizur sanaa exp mihogo ya koko
 
Na uwongo wako mkate wanatumia sana for breakfast muda mwingine wanatengeneza toast 🍳☕🍞sema lazima wasindikize na mayai pembeni matunda.
 
Niliwahi fika hospital ya Ikonda iliyopo Makete. Wao wanavipaza sauti kwa maana ya kutolea elimu ya Afya. Kilichoniduwaza ni pale walipokuwa wanashauri suala la lishe na kuhimiza vyakula vifuatavyo ni chakula taka. 1. Mandazi 2.chapati 3. Vitumbua. Na vinginivyo vya ngano vya kukaanga mnavyovijua. Kuanzia pale Huwa nakula kwa nadra sana hivyo vitu
 
Mikate na Chapati zina tofauti gani? Mihogo na Magimbi nini tofauti?
Ujuaji haukusaidii

Ni hivi kwenye hizo nchi ukiuza chapati badala ya mikate biashara itakufa.

Kama hujui tofauti ya magimbi na mihogo sina namna ya kukusaidia.
 
South Africa wanachakula chao wanakiita MPOKOTO.. ibaki kusema bongo kuna vyakula vingi na vizur sanaa exp mihogo ya koko
Pale Dubai kuna mgahawa wanauza vyakula vya kiafrika unakuta vimepangwa buffet unajisevia tu.... kuna vyakula niliona watu wanakwepa nikaambiwa ni vya nchi za Afrika Magharibi.. yaani makabeji yamechanganywa mimaji kama yote.
 
Niliwahi fika hospital ya Ikonda iliyopo Makete. Wao wanavipaza sauti kwa maana ya kutolea elimu ya Afya. Kilichoniduwaza ni pale walipokuwa wanashauri suala la lishe na kuhimiza vyakula vifuatavyo ni chakula taka. 1. Mandazi 2.chapati 3. Vitumbua. Na vinginivyo vya ngano vya kukaanga mnavyovijua. Kuanzia pale Huwa nakula kwa nadra sana hivyo vitu
Deep fried food sio mchongo...tunakula tu sababu ya utamu.
 
Back
Top Bottom