Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

yeye na wewe wote mnatumia barabara,kwanini anaomba kulipwa kwa kuwa mke wa kiongozi!!!

si aridhike kupita kwenye barabara pekee kama ni rahisi kama usemavyo!!!
Alipwe kwa Sababu anajamiana na kiongozi mstaafu.
 
.
 
Wajinga pia ni wanyonge wamaowapigia kura kwenye Serikali za mitaa.

Tatizo CCM inaiga será za Vyama pinzani hasa vile vya kibepari na kuacha misingi ya Chama cha Mapinduzi ambazo ni misingi ya Ujamaa , undugu ,utu, Hali, ukweli, na umoja pamoja na kujenga uwezo Wa Kila MTU Kujitegemea.

Nipeni hii Nchi Kwa miaka 10.
Kila MTU atasimama Kwa miguu yake halisi Kwa haki bila dhulma
 
UTASHANGAA SANA. NI NCHI YA KIPUMBAVU SANA. INA WATU WALAFI NA WACHOYO.
 
Kwahiyo tuwahudumie kwa sababu wana huo uhitaji au kwa ufahari tu kwa sababu upo huo uwezo wa kufanya hivyo?
 
Hii nchi ukiwa mnyonge au mlalahoi una option mbili tu, either uishi kama watakavyo mabwanyeye au uishie ukajitafutie pengine (hata burundi huko) uamuzi ni wako
Hapana, mbona huku mtaani hatuishi kama watakavyo wezi na vibaka bali tunawachoma moto? Ni muda wa kufikiria cha kuwafanya hawa wezi wavaa suti.
 
Dah unakuta ana wake wanne.
 
Nasubiri maoni ya dada yangu FaizaFoxy

Ova
Anatakiwa apiganie na masheikh nao walipwe mishahara na DPW katika kipindi chote cha uwekaziji wao hapa nchini hapo ndio nitamuona kweli ni mdini mwenye kunufaisha dini kuliko kushabikia udini wa kutaka kuwe na viongozi wenye imani ya dini yake ila hakuna wanachofaidisha dini.
FaizaFoxy
 
hii comment ime andikwa na mtu ana tumia tecno F1 na si ajabu uka kuta ame type akiwa juu ya mkorosho uko nanjilinji
Kweli kabisa....

Ukubwa wa thamani ya simu ndio ukubwa wa ANALYSIS ya mambo ?!!![emoji1787][emoji1787]

Hujakosea...tajiri eeee F 1 ndio uwezo wangu wa kiuchumi [emoji1787][emoji1787]

Eneo umelikosea....niko hapa Majohe ubanda wa mama Lily!

Karibu Wanzuki[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hapana, mbona huku mtaani hatuishi kama watakavyo wezi na vibaka bali tunawachoma moto? Ni muda wa kufikiria cha kuwafanya hawa wezi wavaa suti.
Kumbuka hawa hauishi nao mtaani, unaweza ukajikuta unaishia kufikiria tu, maana hata kuwaona wanaonekana kwenye tv
 
Tanzania ina wasomi wajinga na wasio na elimu, mawazo Yao ni mafupi kama mkojo wa mwanamke, yapo mambo mengi sana ya hovyo yanayopitishwa na hao waitwao wasomi.
 
Kaisome falsafa ya mama Samia ya R 4 uielewe, usikurupuke, pitia uzi nimeshangia mada.

Huwa nawashauri ukiikuta mada kabla hujakurupuka kuandika kwanza ipitie japo kijuujuu uelewe kinachojadiliwa na maoni ya wengine.

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
 
Ule mkusanyiko pale Dodoma wa wagonga meza usivyo na aibu wala kuangalia maslahi ya wengi utapitisha huo muswada tena bila kuhoji wakati mfuko wa taifa wa bima afya ukiwa umeondoa kifurushi cha 'toto afya' katika vifurushi vyao wakisingizia kufilisika kwa mfuko. Ajabu wao kutwa kucha kujiongezea mishahara na posho kwakweli hawastahili hata kukaa dk 1 madarakani wanatuchosha wananchi na kuichosha nchi pia.
 
Tanzania ina wasomi wajinga na wasio na elimu, mawazo Yao ni mafupi kama mkojo wa mwanamke, yapo mambo mengi sana ya hovyo yanayopitishwa na hao waitwao wasomi.
Ndiyo kwanza unalielewa leo hiko? Soma mada hizi:



 

View: https://youtu.be/I2kGeuyRlNs?si=1KrzqOOLMZUv8q6w
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…