Nchi yetu ina watu duni mpaka wanagombania bagia za bure?!

Nchi yetu ina watu duni mpaka wanagombania bagia za bure?!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Hili tukio inasemekana limetokea Mbeya!

Watu wazima wanagombania bagia za bure! Africa inasikitisha na kukatisha tamaa sana.

Kama hali Iko hivi Mbeya wanaosemekana ndio wazalishaji wakubwa wa chakula nchini huko kwingine hali ikoje?!

Screenshot_20260806-162437~2.jpg

 
Kiukweli imenisikitisha sana.

Hivi walishindwa kuwa na utaratibu mzuri wa kula hizo bagia za bure?

Inapofikia kwenye matukio kama haya yanayohusisha vitu vya bure, always mashabiki wa Yanga wanapaswa kuangaliwa kama mfano.

1786023716464.jpeg
 
Hivi,ni kweli hao watu waligombea bagia kwa sababu ya njaa sana,kufuata mkumbo/mob psychology,kumuunga mikono mbunge au waliukumbuka/walimiss utamu wa bagia tu?Wapewe makaratasi na kalamu wajieleze haraka sana kwa nini wamejisababishia aibu kubwa namna hiyo!?
 
Hili tukio inasemekana limetokea Mbeya!

Watu wazima wanagombania bagia za bure! Africa inasikitisha na kukatisha tamaa sana.

Kama hali Iko hivi Mbeya wanaosemekana ndio wazalishaji wakubwa wa chakula nchini huko kwingine hali ikoje?!

View attachment 3644429
View attachment 3644430
Hali ni tete.
Na hapo tupo kwenye uchumi wa chini kati.
 
Back
Top Bottom