Nchi yetu ina watu duni mpaka wanagombania bagia za bure?!

Nchi yetu ina watu duni mpaka wanagombania bagia za bure?!

Mbeya hakuna njaa ndogo ndogo zakugombea chakula eti mpaka tudai ni umaskini, hizo ni drama tu za kisiasa
Bwashee hiyo ni tabia tu ya wamatumbi,
Leo hii uchague wamatumbi 20 kisha wote uwape kila mtu laki moja,halafu hapo hapo apite mtu mwingine kisha aanze kurusha buku ten ili waokote,wataanza kugombania hizo ten ten,
Hiyo ni tabia na wala sio njaa coz hizo bagia kwanza sio chakula kamili,na hao wote bila shaka kila mmoja ana chakula kwake.
 
Bwashee hiyo ni tabia tu ya wamatumbi,
Leo hii uchague wamatumbi 20 kisha wote uwape kila mtu laki moja,halafu hapo hapo apite mtu aanze kurusha buku ten ili waokote,wataanza kugombania hizo ten ten,
Hiyo ni tabia na wala sio njaa coz hizo bagia kwanza sio chakula kamili,na hao wote bila shaka kila mmoja ana chakula kwake.
Hiyo ya pesa hata mimi nagombania bwashee, 😅 sijawahi kutosheka kitu inaitwa ngawira 💵😆
 
Hiyo ya pesa hata mimi nagombania bwashee, 😅 sijawahi kutosheka kitu inaitwa ngawira 💵😆
Kingine,unajua kitu cha bure hua kina ushawishi fulani hivi,kwa vile ni cha bure basi unaona kama vile unayo haki ya kukipata,na kama ukikikosa unaona ni kama vile wewe ni mzembe fulani hivi,

So,hapo ni issue ya kisaikolojia zaidi kuliko njaa.
 
Ndo mtaelewa ni kwa nini CCM kamwe hawatatokomeza umaskini kwa wananchi kwa kuwa ni mtaji kwao.

Kumuongoza mtu mwenye utulivu wa maisha inahitaji akili kubwa.
CCM wanajidanganya tu, Hawa raia ipo siku watafurika kwenye nyumba za watawala wakidai ubwabwa kwa nguvu.
 
Nimemuoana lucas mwashambwa jamani ananuka jasho balaa ccm dhambi hii itawatafuna aisee yaaani riwaya na utumbo anaondika lucas kichwa kitupu mnaishia kumpa bagia na maji ya kawetere
 
Back
Top Bottom