leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
Hakuna mazoea hapo.Huwa tunashangaa isipokuwa tunajidai tumezoea.Kama mtu ana hamu sana na ubeche/wali,kwa nini asinunue mchele kilo nne apike?Ukiiva huo wali,avue nguo zote,aupakue kwenye ungo mkuubwaaa.Ale hadi azimie.
Wabongo wengi ni wabinafsi na si kwamba hawali wali,,,,, bali hawataki kuhudumia chakula cha majumbani mwao kitoke vizuri na kuwa chenye ladha nzuri!!!
Baba anajipiga masupu hotelini na kugombea misibani,, kwenye sherehe ni kulalamika tu chakula kidogo mara kimechelewa. na mama akikutana na ubweche wa msiba anagombania na unapatikana wa kupeleka nyumbani