Hakuna mazoea hapo.Huwa tunashangaa isipokuwa tunajidai tumezoea.Kama mtu ana hamu sana na ubeche/wali,kwa nini asinunue mchele kilo nne apike?Ukiiva huo wali,avue nguo zote,aupakue kwenye ungo mkuubwaaa.Ale hadi azimie.
Hii nayo ni aina ya maajabu ambayo hujiumba kila wali unapojidhihirisha machoni mwa baadhi ya watu.Hakuna mazoea hapo.
Wabongo wengi ni wabinafsi na si kwamba hawali wali,,,,, bali hawataki kuhudumia chakula cha majumbani mwao kitoke vizuri na kuwa chenye ladha nzuri!!!
Baba anajipiga masupu hotelini na kugombea misibani,, kwenye sherehe ni kulalamika tu chakula kidogo mara kimechelewa. na mama akukutana na ubweche wa msiba anagombania na unapatikana wa kupeleka nyumbani
Duh!...njaa haina baunsa..Hili tukio inasemekana limetokea Mbeya!
Watu wazima wanagombania bagia za bure! Africa inasikitisha na kukatisha tamaa sana.
Kama hali Iko hivi Mbeya wanaosemekana ndio wazalishaji wakubwa wa chakula nchini huko kwingine hali ikoje?!
View attachment 3644429
View attachment 3644430
Tuna safari ndefu sana kama nchi.
Unataka kusema kulisha mume sadaka ni halali.!?Hakuna mazoea hapo.
Wabongo wengi ni wabinafsi na si kwamba hawali wali,,,,, bali hawataki kuhudumia chakula cha majumbani mwao kitoke vizuri na kuwa chenye ladha nzuri!!!
Baba anajipiga masupu hotelini na kugombea misibani,, kwenye sherehe ni kulalamika tu chakula kidogo mara kimechelewa. na mama akukutana na ubweche wa msiba anagombania na unapatikana wa kupeleka nyumbani
Labda pia Waafrika tunakuwa kwenye mazingira ya shida sana ya uhaba kiasi kwamba wakati wote ubongo wetu unakuwa kwenye hali ya kuona kila kitu hakitoshi inabidi kupambania tu na kuwawahi wengine hali inayotuondolea ustaarabu.Inaweza kua ni umasikini ila issue hapa ni Selfishness/Ubinafsi,ndio maana unaweza kukuta Daladala lipo tupu na wanaopanda wanatosha kabisa kukaa kwenye viti ila watagombania ili kila mmoja anataka yeye awe wa kwanza!
Hata kwenye kushuka ni hivyo hivyo,kila mtu atataka ashuke yeye kwanza! Sidhani bagia ndio sababu kuu bali ni mazowea ya kila mtu kutaka apate yeye kwanza kabla ya mwenzake,
Hapo mimi naona ni issue ya ustaarabu zaidi na mazowea kuliko kuamini kua sababu ni njaa.
Bro she meant a lot.!Labda machawa wa mama , ila kwa mbeya sidhani kama watu wana njaa ya kugombea chakula
Hauko peke yako, wenzako wakina ChoiceVariable Stuxnet nao inabidi wasikitike sanaDah nimesikitika sana na mbeya yangu
Mbeya hakuna njaa ndogo ndogo zakugombea chakula eti mpaka tudai ni umaskini, hizo ni drama tu za kisiasaBro she meant a lot.!
Swali la msingi ana uwezo wa kulisha mtu.!
Kuna ajali ya kuamini utoshelevu wa waliokutangulia.!
Hii nayo ni aina ya maajabu ambayo hujiumba kila wali unapojidhihirisha machoni mwa baadhi ya watu.
Wanyakyusa kama wanaigeria sifa nyingi ila kwao kuna umaskini mkubwaUmasikini ni nguzo kuu ya ccm