Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Denmark, Norway na Netherlands wanachota au waliwahi kuchota mali wapi??
 

huko saudi arabia huwa mnaenda bure kuhiji? Huona kuwa mnapeleka hela kuijenga saudi arabia kiuchumi mnapoenda kutalii kidini?
Kwenye hija hakuna pesa yeyote unayotoa kule,hakuna fee kwenye hija zaidi ya gharama zako za nauli na hoteli,
Saudi Arabia uchumi wake 99% wanategema CRUDE OIL----na hili hulijui?
Kule kupo tofauti kua sadaka zinakusanywa vijijini makaniani kwenye parolia zinapelekwa VaticanπŸ˜πŸ˜„
Enhe Vatican uchumi wake wanategemea nini?
 
Asee tupendaneni tu. Yesu kipenzi chetu alituhasa tuwapende jirani zetu. Kobaaz wanajitahid sana kwenye imani yao ila wanamuhitaji Yesu.
 
Ukiona mkimbiz wa Syria kakimbilia Iraq ujue kakosa means au hana vigezo ila kila mujahideen anapenda kwenda uropa kula mema yanchi
Msomi hureason kwa Takwimu
Hizi nchi ambazo raia WA Syria huenda?......enhe nchi ambazo munaziita za kikiristo wameenda asilimia ngapi?
Je Nini ni wasomi ama wapumbavu?
Hata D.R.C na Zambia ni nchi za kikristoπŸ˜†πŸ˜†
 

Attachments

  • Screenshot_20241211-085341.png
    247.8 KB · Views: 2
Kila mwaka wanaingia watu kati ya milioni 2 hadi 3 kufanya Hija Saudi Arabia, fikiria ni pesa kiasi gani wanaacha kama mapato katika hotel, yale mavazi wanayojitanda na usafiri wanaoutumia Saudi Arabia.
 
Norway ina utajiri mkubwa wa gesi na mafuta kuliko nchi nyingi za uarabuni. Hata Denmark imekuwa na utajiri wa gesi na mafuta kwa muda mrefu tu.
Mpumbavu hutoa hoja bila takwimu
Hizi ni nchi zenye Reserve kubwa ya mafuta na gesi duniani.
Enhe Norway na Denrmark ipoje hapo with respective to nchi za uarabuni?
Je wewe sio Mpumbavu?πŸ˜πŸ˜†πŸ˜‚
 

Attachments

  • Oil_and_gas_industry_reserves_by_nation.png
    219.9 KB · Views: 1
Mtoa mada kaprint hii uweke lamination kabisa
 
Waarabu wana laana wale na hakika kuna wengine wanaingizwaga kwenye hayo makundi hata hawajui wanaenda kupigania nini, Maana washia wakiua utasikia allahu akbar na wasuni vilevile sasa unabaki na maswali hawa ni binadamu au mazombi...cause kama kununulika mbona Yahudi hanunuliki hata kwanini amuue myahudi mwenzie!? Siku hawa waarabu wakielimika ujue ni mwisho wa dunia, yaani Juzi tuliambowa Al jawlan alikuwa gaidi na antafutwa kwa $millioni 10 ubaoni leo unaaminishwa mtetezi wa Syria kampiganie na wewe unaenda front hivi wewe mzima kweli!?πŸ˜πŸ˜‚
 
Kila mwaka wanaingia watu kati ya milioni 2 hadi 3 kufanya Hija Saudi Arabia, fikiria ni pesa kiasi gani wanaacha kama mapato katika hotel, yale mavazi wanayojitanda na usafiri wanaoutumia Saudi Arabia.
Mpumbavu hutoa hoja yake bila takwimu,........
Hii ni chart ya Saud Arabia kuonesha contribution ya economic activities.
Enhe Hija n safari zanhao watu milioni 2-3 zinacontribute asilimia ngaoi hapo?πŸ˜†
Je wewe sio mpumbavu?
 

Attachments

  • images (7).png
    29.4 KB · Views: 2
England kikngozi wa dola ni nani? Mfalme au waziri mkuu?
 
Hao mbona wote ni wakoloni mkuu
Ye hajui kua wakoloni inawezakua hata kampuni kama Barrick kule mara na Geita inachota Mali Kwa niaba ya Canada na U.S government thus why mukitofautiana ndege Yako inakamatwa kwenye nchi zao?
Nchi hii wakrito wanaongoza kwa elimu,ila ni moja ya jamii ya wapumbavu kuliko jamii yeyote ile
Thuy why uchumi wa Zanzibar ambaoo huongoza kwa kufeli form four ama six ni mara 2 ya uchumi wa mkoa wote wa Kagera na Kilimanjaro kwenye wasomi wengiπŸ˜„πŸ˜πŸ˜
Huu si uhanithi,.....elimu Ina faida gani sasa?
Tanga kwa waislam wavivu,mamwinyi,enhee,watu wa pwani hawasomi 🀣🀣 ni jiji,ila Kagera kwa wasomi,madoctors,maprofessors, stendi tu ya basi kama Banda la nguruwe🀣🀣
 
Acha porojo mkuu ni nchi gani kati ya hizo hapo haiongozwi na mfumo kristo? Jibu swali kobazi zinakwama wapi na dini yao ya amani?
 
Kwani nchi za kiislamu huwa zinafanya Uchaguzi ?

Mbona Venezuela ina mafuta mengi kuliko nchi nyingi za kiarabu haina makundi ya waasi wanaompigania Allah ?
 
Siamini kama wewe ni mzima. Yawezekana ni miongoni mwa hao walioharibiwa akili ambao huwa wanajilipua hovyo. Hakuna mwenye akili timamu ambaye huwa anatoa arguments zake kwa kutukana wengine.
Mimi nafanya arguments za hoja na watu wenye akili timamu, wewe tafuta wenzako unaolingana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…