Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?
Yesu alihubiri a,mani na upendo, alisema ukipigwa shavu hili mpe na lingine.
Lakini pia ukristo ni upendo wa AGAPE, siyo kutamka tu bali vitendo
hizi hapa chini ndio sababu za amani nchi za kikristo.
  1. Utawala wa Sheria Imara
    Nchi nyingi za Kikristo zinazofuata mafundisho ya Yesu zimeweka mifumo imara ya sheria na taasisi za serikali zinazozingatia uwajibikaji. Hii inapunguza sababu za watu kuanzisha makundi ya waasi kwa vile wanahisi wanaweza kupata haki kwa njia ya amani.
  2. Ustawi wa Kiuchumi
    Baadhi ya nchi za Kikristo, hasa zile za Magharibi, zina uchumi imara unaopunguza umasikini na ukosefu wa ajira. Hali hizi hupunguza hasira na matatizo ambayo mara nyingi hutumika kama kichocheo cha uasi.
  3. Urithi wa Kihistoria
    Mataifa mengi yenye urithi wa Kikristo yalikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe au migogoro mingi ya kidini na kisiasa zamani (mfano, Vita vya Msalaba, Mapinduzi ya Ufaransa, n.k.). Baada ya historia hiyo, walijifunza umuhimu wa kutafuta utulivu na maridhiano.
  4. Demokrasia na Ushirikishwaji
    Nchi nyingi za Kikristo zina mfumo wa kidemokrasia unaowapa watu sauti kupitia uchaguzi huru na wa haki. Hali hii hupunguza uwezekano wa watu kugeukia njia za vurugu kudai mabadiliko.
  5. Nguvu za Taasisi za Kidini
    Ukristo mara nyingi unasisitiza maadili ya amani, msamaha, na maridhiano. Hali hii inaweza kuchangia kudhibiti migogoro ya kijamii na kuimarisha mshikamano wa kijamii.
  6. Mitazamo ya Kijamii
    Katika jamii nyingi za Kikristo, kuna mitazamo ya kushirikiana na kusaidiana kati ya serikali na wananchi. Hii inaunda mazingira ambako watu wanahisi kushirikishwa na kuhusishwa katika maendeleo ya taifa.
  7. Mikataba ya Kijamii na Utawala Bora
    Uwiano kati ya serikali na raia mara nyingi umejengwa juu ya mikataba ya kijamii inayoheshimu haki za binadamu, uhuru wa kujieleza, na usalama wa kila mmoja
 
Hayo aliyo waandikia hapo ni 👇
Screenshot_20241212-203856.png
 
Ndio inawezekana haujakusudia, Sasa eleza kwenu alikuwa na akina Nani wakati mnasema Hana mshirika?
Huo wingi ni wa utukufu na ukubwa na si wingi kama ambavyo wewe unadhani, hata kwenye biblia huo wingi haumaanishi idadi kwa maana ya washirika wa Mungu. Mungu hana mshirika.
 
Kwa wakristo dini ni personal, hulazimishwi kua muumini, wa waislamu dini ni community, lazima kila mtu awe na dini, ukikataa dini ni kifo na mbaya zaidi kila mtu anatafsiri yake ambayo anataka ailazimishe kwa mwenzake.
nitajie nchi ya kiislamu ambayo ukikataa dini unauawa?
 
Wakristo wamepewa uhuru katika kumfuata Mungu.

Waislam wanaswagwa kumfuata Allah, hawaruhusiwi kufikiri wala kutumia akili kwa yale wanayoambiwa na viongoZi wao wa dini. Ikitokea kiongozi ni gaidi, wafuasi wake wote wanatumbukizwa kwenye ugaidi.
Ndomana hata kufirwa kwenu ruksa
 
Ndio Ni mtoto wa Mungu lkn jina alilorithi lipitalo majina yote unafikiri alipewa na Nani?
Alipewa na Mungu kwahiyo Mungu jina lake Ni yesu.
Kwahiyo ni Mungu au ana jina tu la Mungu?
 
Kwahiyo ni Mungu au ana jina tu la Mungu?
Jina alilorithi yesu ndilo linalobeba mamlaka yote juu ya mwanadamu. Pamoja na kupewa mamlaka juu ya wote wenye mwili bado haimaanishi kwamba yeye ndiye Mungu baba hapana, Bali anabaki kuwa mwana wa Mungu lkn mwenye mamlaka juu ya wanadamu wote.
 
Huo wingi ni wa utukufu na ukubwa na si wingi kama ambavyo wewe unadhani, hata kwenye biblia huo wingi haumaanishi idadi kwa maana ya washirika wa Mungu. Mungu hana mshirika.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃🤣😃😃😃😃
 
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?
Mfumo wa Ufalme wa Mungu hauwezi kufanana mfumo wa ibilisi.
 
Ni mwana wa Mungu. Wewe ukizaa mtoto ukampa jina atakuwa wewe? Lkn watu watasema huyo Ni mwanao.
Mimi binaadamu nikizaa mtoto atakuwa mwanangu, mimi na mwangu ni binaadamu wawili na si mmoja. Kwahiyo kama Yesu ni Mungu na Baba yake ni Mungu hivyo hapo tunazungumzia Miungu wawili.
 
Ukiiondoa Vatican hizo nchi nyingine zilizobaki ni atheists/ agnostics majority au nusu ya raia wake wengi ni wasio na dini/irreligious. Hizo nchi haziendeshwi kwa misingi ya dini yoyote.
Huijui England.
 
Back
Top Bottom