Nchi zinazopinga ushoga zinatumia kigezo gani? Mbona hazipingi ukahaba na uasherati?

Nchi zinazopinga ushoga zinatumia kigezo gani? Mbona hazipingi ukahaba na uasherati?

Ukishakuwa mwanaume utamdekea nani? Ukideka lazma uliwe na ushoga ukiruhusiwa ndo hawakucheleweshi kabisa Yani mapemaaa
Unataka kusema wanaokula wanaume wenzao wao ni vidume rijali na wanaoliwa na wanaume wenzao ndio mashoga wenye laana?
 
Haina tofauti na mtu anaye pinga rushwa na ila majambazi hawaoni
Rushwa haikuui ukidakwa
Jambaz unauliwa ukidakwa
Sasa wewe ona kama mashoga wanakandamizwa

Mkuu kwahio unasema kuwa waendelee
 
Unafki wa ngozi nyeusi,
Wanafanya uzinzi kila uchao na kuzaa watoto wa haramu ila likija suala la ushoga wanakimbilia kwenye mwamvuli wa chukizo la Mungu,
Ni kukosa ustaarabu tu
Nawe umo punga wewe
 
Unafki wa ngozi nyeusi,
Wanafanya uzinzi kila uchao na kuzaa watoto wa haramu ila likija suala la ushoga wanakimbilia kwenye mwamvuli wa chukizo la Mungu,
Ni kukosa ustaarabu tu
Huku kenya LGBTQ activist aliuwawa na kuwekwa kwa sanduku la mabati
 
Unataka kusema wanaokula wanaume wenzao wao ni vidume rijali na wanaoliwa na wanaume wenzao ndio mashoga wenye laana?
Tena wazungu Hawa kudadeki zao washajua Africa hawana uwezo, ndo wanataka ushoga usambae ili waje kugeuza waafrica ndo wake zao, mafala sana Hawa.
 
Niliona clip moja dume zima linatiwa hadi mkono huko nyuma tobo limekua ka kisiwa cha roda halafu linanguruma oohrrr kama mbwa koko shenzi sana

Piga vita ushoga kwa hali yeyote ile hata kuua
 
Pimbi kabisa,hivyo vyote ulivyotaja mbona vinazuiliwa kila siku watu wanakimbizana na mapolisi

Kuna watu wamewapatia wanafunzi ujauzito na hawajakamatwa hapo napo unaweza ukasema kwa vile kuna watu hawajakamatwa basi inaruhusiwa kumpa mwanafunz mimba
Mjibuni alichouliza siyo kutukana,
 
Ukahaba pia hawaruhusu ila ushoga naona ndio unakaziwa zaidi, maana ni inaonekana ni kupoteza wanaume katika jamii ambao ndio viongozi, walinzi, wazalishaji mali, na kuendeleza kizazi

Ila mimi nataka haya mambo ya kuendekeza na kushadadia kwa Mpalange sijui Tigo ukiwa unafanya mapenzi na mwanamke, yapingwe kwa nguvu zote kama ushoga

Haya ndio yanayokuza ushoga
Hivi yapo hayo, iwekwe sheria kiongozi skitaka uongozi wowote mkewe apimwe kama mzima kwa mpangale.
 
Suala la "machukizo kwa mungu" ni hoja nyepesi kwa sababu anayeongea anajua kuwa watanzania wengi wanaamini katika mungu.

Ila hoja za msingi ni fahari ya mboo; na fahari ya mzazi.

Kwamba si heshima kwa mwanaume kuchomekwa utambi matakoni. Uanaume ni hulka. Uanaume ni ubabe. Uanaume ni uongozi. Uanaume ni ujasiri. Kwa hiyo sifa hizi za uanaume haziendani kabisa na suala la kuchomekwa utambi matakoni.

Kwa hiyo hakuna mzazi anayependa kuona mwanae wa kiume anachomekwa utambi matakoni. Wazazi tunapenda kusikia kuwa kidume changu kimeletewa kesi ya kutia mimba binti fulani. Hiyo ndo kesi ambayo mzazi wa mtoto wa kiume anaweza akaisimamia bila shida.

Mambo ya mungu wala hayahusiki. Sema akili za watanzania wengi bado ni nyepesi sana ndo maana ishu nyingi unakuta watu wanaleta hoja ya mungu.

Mungu ni kitu cha nadharia tu. Mungu ameumbwa na wanadamu. Huwezi kujenga hoja makini kwa kutegemea mungu. Utafeli tu mbele ya safari katika hoja hiyo, kwa kuwa mungu huchukuliwa kama kiumbe mwenye kauli na utashi lakini hajawahi kusikika hata siku moja mbele ya hadhira katika namna ambayo haiachi mawaa kwa kila mtu. Mungu amebaki kuwa ni kiumbe ambaye kila mtu anadai anamsikia kwa namna yake. Sasa kiumbe ambaye kila mtu anamsikia kwa namna yake huwezi kumtumia kujenga hoja mbele ya umma.
Agiza Fanta nalipa
 
Niliona clip moja dume zima linatiwa hadi mkono huko nyuma tobo limekua ka kisiwa cha roda halafu linanguruma oohrrr kama mbwa koko shenzi sana

Piga vita ushoga kwa hali yeyote ile hata kuua
Kuangalia tu hadi unakuja na details hapa nina mashaka nawewe
 
Unafki wa ngozi nyeusi,
Wanafanya uzinzi kila uchao na kuzaa watoto wa haramu ila likija suala la ushoga wanakimbilia kwenye mwamvuli wa chukizo la Mungu,
Ni kukosa ustaarabu tu
Kwahiyo ustaarabu ni kusaganana kama unavyofanya?
 
Mashoga kwenye kutetea haki zenu
kasema kweli vipi uchukie ushoga ukubali ukahaba kila kona madangulo na viongozi wa dini walivio wanafiki wanapinga ushoga hali yakua kwenye nyumba zao za ibada wamajaa makahaba
 
Mashoga kwenye ubora wenu. Uzinzi, uasherati ni asili wanafanya mwanamke na mwanamume sasa hiyo ushoga umetoka wapi kama sio upunguani wa akili.

Hata mbwa hawezi muingilia dume mwenzie shenzi type.
uwezi kupinga ushoga ukakubali wanawake kujiuza kila kona ya nchi huo ni unafiki
 
Back
Top Bottom