Pre GE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uwezekezaji? Uliwahi kusikia kauli ya hayati Mkapa kuhusu maamuzi ya kuachia miradi ya serikali chini ya wawekezaji?
Serikali kubinafsisha rasilimali zake kwa wawekezaji ni kukwepa uwajibikaji.
Tembea Tanzania nzima kwa sasa achana na siasa za Mkapa za miaka ya 90.
 
Nadhani wote mmemsikia kwa makini Nchimbi, kama mme Connect dot vema mtagundua mbowe ni keen wa CCM and he is a stabilizer.

maandamano kuwekwa two weeks after, nikutafuta stabilization na kwa hakika hayatotokea kwa sababu gvt itanyamazisha wale vimbelembele wote.

maandamano yalipaswa kufanywa the following day baada ya kufanya kikao chao ; maandamano yanapswa kuwa shambulizi la kustukiza na sio kupanga, wakijua unapanga..... then utafeli.

Kwa mfano, Edo kuhama CCM ilikuwa ni shambulizi la kustukiza, it gave them hard time kumkabili Edo na walishindwa. Edo alishinda Urais, suala la nani alitangazwa hilo ni lingine.

Kuna kitu Chadema hampendi kusikia, Mbowe ni zuga boy , sio mpinzani, ni stabilizer . A day mbowe ataachana na Chadema ndio itakuwa rebirth ya chadema na kitaweza kuchukua dola.

For as long as mbowe yupo Chadema .... it will never happen, Mbowe hajawahi kuwa mpinzani.

Mpinzani wa kweli Chadema ni Tundu Lissu, this guy anamaanisha upinzani wake : Mnyika ni mpinzani wa kweli , Sugu ni mpinzani wa kweli. Mbowe ni zuga boy na hana tofauti na ZZK!

Kama huna D mbili, hutonielewa, samahani lakini.

Dr. Megalodon, Otawwa
 
DR NCHIMBI; RAIS NA CCM HATUHUSIKI NA UTEKAJI

Hotuba ya leo Septemba 13, 2024 ya Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Nchimbi ni ya kihistoria. Amezungumza vitu vigumu kwa lugha rahisi kuonesha 4R za Rais Dkt Samia bado zipo hai sana.

Hotuba yake imebainisha mambo 10 ambayo pasina shaka Rais Dkt Samia na Chama tawala, CCM kama Taasisi mbili zinazoongoza nchi hadi sasa, zinaamini kwa VITENDO:-

1) Umoja, mshikamano na upendo wetu sote bila kujali tofauti zetu za vyama ndio nguzo ya taifa.

2) Utekaji na uuaji wa raia si siasa, ilani wala mwongozo wa Rais Dkt Samia wala CCM.

3) Watekaji na wauaji wa raia ni mtu ama kikundi cha watu wabaya WANAOWEZA kutoka CCM na ama upinzani.

4) Lengo kuu la Watekaji na wauaji ni kumgombanisha na kumfitinisha Rais Dkt Samia na Chama chake, CCM na wananchi, hivyo kwa vyovyote vile hawana baraka za Rais Dkt Samia na baraka za CCM kama chama tawala.

5) Wajibu wa kuwadhibiti Watekaji na wauaji wa raia si wa Rais na CCM pekee bali pia ni wajibu wa Upinzani, makundi yote nchini na wananchi wote.

6) Serikali haijashindwa kuchunguza matukio ya Utekaji na uuaji raia kufika kiwango cha kukaribisha wachunguzi kutoka nje ya nchi itusaidie, hivyo endapo Serikali itahitaji msaada huo, CCM itaunga mkono.

7) Kosa la mtumishi au kikundi cha watumishi wasiye waadilifu na waaminifu wa chombo cha ulinzi na Usalama sio kosa la vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama.

8) Kuhamasishwa kuwa na ugomvi na kutoamini vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa kosa la watumishi wachache wa kada hii ya Ulinzi na usalama ni kujikosea na kujihatarishia maisha yetu wenyewe wananchi. Ni sawa tu na kukosewa na daktari mmoja na kutaka kuwachukia madaktari wote nchini wasituhudumie huku tuna wagonjwa kila uchwao.

9) Kauli za kuchonganisha, kutishia na kufitinisha baina ya Serikali, CCM na vyama Vingine vya siasa na wananchi zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa CCM na Serikali yake sio msimamo wa Rais wala CCM. CCM na Serikali ya Rais Dkt Samia ipo makini, haivumilii na huwa inawachukulia hatua za kinidhamu viongozi hao kwa mujibu wa taratibu za Chama na Serikali.

10) Samia Must Go haivumiliki wala haimstahili Rais wetu mchapa kazi, mpenda utu, haki na uhuru Dkt Samia kwani kwa muda mfupi ametuletea maendeleo yasiyomithimika, na cheo alichonacho hajajipa yeye mwenyewe bali katiba ndio imempa na kama kuondoka ataondoka kwa mujibu wa katiba na sio vinginevyo.

Ahsante Katibu Mkuu makini sana, Dr. Nchimbi.

Watanzania tuendelee kudumisha 4R( Reconciliation (Maridhiano), Resilience (Ustahimilivu), Reforms (Mabadiliko) na Rebuilding (Kujenga upya) za Rais wetu Dkt Samia tuendelee kujenga taifa letu lenye usawa, umoja na upendo, tusiunge mkono migogoro na maandamano ya kutuletea uvunjifu wa amani na utulivu tukalipoteza taifa letu adhimu hususani nyakati hizi za kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu ambapo watu waovu dhidi ya taifa letu wamejaa tele.

KAZI IENDELEE, na KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI‼️

Suphian Juma Nkuwi,
Simu; +255717027973
 
Attachments

  • Screenshot_20240913-212110_X.jpg
    Screenshot_20240913-212110_X.jpg
    314.1 KB · Views: 1

Utekaji una ka muda ka kutosha sana muda wote tuko kimya.kwa sababu sisi tuko salama.
 
Nyoka wote leo wametoka shimoni
Angalau wametoa kauli regardless inner feelings zao. Hakuna anayweza kufurahia kupotea kwa Maisha ya wengine, Ingawa kuna wapuuzi walisherehekea Kifo cha Shujaa wetu, na Leo wanamkumbuka when it is too Late
 
Back
Top Bottom