Tetesi: Ndani ya masaa 48 Dr. Nchimbi Kung'atuka umakamu wa Rais kwa kujiuzulu

Nonsense
 
Yote hayo ni kutaka kuneutralize matukio yaliyopita.

Jana niliwahi kusema humu ukiachilia mapungufu yetu sisi wanachama bado CCM ndio Chama bora zaidi Tanzania.
Tunahamisha mjadala taaaratibu.
Mmehamisha mjadala au mmeukoleza na kuuwekea "sticker" kabisa...?

Hivi mjadala wa mauaji holela ya 29/10 na siku zilizofuata yaliyochukua maelfu ya roho za watoto, kinamama, kinababa, vijana wa kike na kiume unaweza kuhamishwa na kutulizwa kivipi hasa yaani..?

Damu ya binadamu inayolilia kisasi toka ardhini haitulizwi wala kunyamazishwa na chochote isipokuwa damu nyingine safi, takatifu na yenye nguvu zaidi na ni ile ya Yesu Kristo pekee yake...

Principle yake ni moja tu. Unakiri kosa la kuua na Kisha unaiita damu hiyo, inasafisha kosa lako na zile damu zinazolalamika kuomba ruhusa Ili kulipa kisasi, kwa njia ya kuikiri na kuzipokea damu ya Yesu Kristo kwa imani, damu hizo za visasi hutulizwa...

Otherwise, HAYA HAYAISHI MPAKA PALE YATAKAPOKWISHA KWELIKWELI...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…