Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Martin Maranja Masese ameandika kwenye twitter page yake kuwa "Awamu ya 3 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 10 Awamu ya 4 ilikopa $7bn (Sh16.320 trilioni) miaka 10 Awamu ya 5 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 6 Awamu ya 6 imekopa $8.7bn (Sh20.283 trilioni) miezi 18 “Mama Yuko Kazini Modern Taarab” mmekopa mifweza kupeleka wapi?"
Kama ni kweli hizo pesa zinaenda wapi ilhali matatizo lukuki ya mahitaji muhimu yanazidi kushamiri kila uchwao?!
Aisee!
Kama ni kweli hizo pesa zinaenda wapi ilhali matatizo lukuki ya mahitaji muhimu yanazidi kushamiri kila uchwao?!
Aisee!