Ndani ya miezi 18 Rais Samia kakopa zaidi ya Trilioni 20

Ndani ya miezi 18 Rais Samia kakopa zaidi ya Trilioni 20

Mlipo ambiwa inchi itapigwa mnada mlidhani yule mgogo kakosea. Mkashangilia alivyonyaang'anywa kitumbua. Na bado mtajua hamjui.

Mimi nina mpango wa kuhamia Burundi kama tulivyoshauriwa
unakwenda wapi blaza tukae hapa kikombe chetu wote hiki.
 
Mikopo ya JPM ilifanya kazi zifuatazo:-
1. Kujenga Flyover.
2. Kujenga Bwawa la Mwl. Nyerere.
3. Kununua vivuko.
4. Kununua ndege.
5. Kukarabati barabara.
6. Kujenga vituo vya Afya na hospitali.
7. Kujenga majengo ya Halmashauri.
8. Kujenga masoko makubwa kabisa.
9. Kujenga viwanda/kiwanda cha dawa.
10. Kujenga madarasa.
11. Kujenga SGR.
12. Kujenga Ikulu ya Dodoma nk.

Sisi tumekopa zaidi ya JPM, tumeanzisha mradi gani mpya kabisa uliogharimu fedha nyingi kiasi hicho?
 
Kwani Kuna mradi Gani hapo ulikua umekamilika 100% kipindi JPM anafariki?

Mfano hata Samia kanunua ndege, anamalizia SGR, anamalizia Bwawa la Nyerere, kujenga vituo vya afya na majengo ya shule unaendelea, BRT inaendelea n.k so sidhani kama ni haki kulinganisha as if JPM alikamilisha hiyo miradi tayari kwa 100%

Hii Ina maana kama JPM angekua Bado hai angekopa pia Ili amalizie SGR, Bwawa, Mwendokasi, flyovers n.k
 
Wapinzani washaanza na wao kumsifia mama anaupiga mwingi.

Apo tumeliwa...
Alianza nnauye akala shavu
Na wengne wakafata wakala shavu

Wale wauni wanamsemo wao
“ZAMU YA NANI LEO”
 
Back
Top Bottom